The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hata CNN ni fake news mkuu.FAKE NEWS from Russia. Chunguza vyanzo vyako vya habari.
Hata CNN ni fake news mkuu.
Narudia tena chunguza vyanzo vyako vya habari kabla ya kuweka habari hiyo hapa. Baadhi ya waajiri WAMESHASWAGA Wafanyakazi waliokataa chanjo na baadhi wamefungua kesi. Na kwa kuwa maambukizi yanazidi kuongezeka basi idadi ya waajiri ambao chanjo kwao itakuwa mandatory itakuwa kubwa. Na huu uchumi wa COVID-19 nani yuko tayari kupoteza ajira?
SANA mkuu. Ni feki mno mno.Hata CNN ni fake news mkuu.