Sasa mnataka tutoe maoni kutoka mtu aliyekubali kuwa ametoka kupimwa akili? Anyway, labda atueleze takwimu hizo alitoa wapi REDET?
He was too polite:Mkifuata Bell Curve, JK yupo karibu na ukweli ki takwimu.
Kupimwa akili sio kuonyesha kuwa mtu ana matatizo ya akili. Hizi stigma ndizo zinazofanya watu wasime afya zao.
Kama zipo points dondokeni ama sivyo mtaonekana kuwa mna matatizo ya akili na hamtaki kwenda kupimwa.
tatizo kubwa la Africa (Tanzania), viongozi wetu wanaonekana kama ni miungu, ni watu ambao hawezi kuumwa na ndio maana hata raisi JK akianguka tunaambiwa ni uchovu tu, sasa hiyo picha tunayopewa na watu wa usalama ndio inatufanya tuwe na maswali pale raisi wetu anapokwenda hospitalini kupimwa chochote, kwa hiyo hiyo sio stigma ni wao wenyewe ndio waliotujenga hivyo
kuhusu hilo la 70% mambumbumbu mimi naona ni kweli kabisa kwa maana mbili mbili
1 mpaka sasa sisi hatujajua ripoti ya raisi kuhusu akili zake, kwa hiyo inawezekana anaamuaga mambo kwa akili yake ya ugonjwa na asilimia kubwa inamfuata hivyo anatugroup sisi kama yeye
2 anashangaa haya mambo yote ya RICHMOND, IPTL, DOWANS, BUZWAGI, ZOMBE na mengineyo, serikali yake haijachukua hatua yoyote na WATANZANIA tupo happy tu wala hatuwezi kuitingisha serikali kwa lolote basi ni lazima tutakuwa mambumbumbu tu
To me, hili si la kujiuliza! Ni ukweli usiopingika kwamba watanzania tena hata zaidi ya asilimia sabini wanafuata upepo tu. Mara ngapi tumepiga kelele oooh CCM hii CCM hii, at the end of the day tunaipa kura asilimia 1000? huoni kama ni umbumbu huo? JK yupo sahihi zaidi ya kuwa sahihi. Na ukitaka kujua ukweli kwamba yupo sahihi kiasi gani, subiri 2010. Wananchi kule kijijini sasa hivi ukiwaona wanapiga kelele kupita maelezo, serikali hii imetutelekeza, lakini wakati wa uchaguzi hata wale wa Loliondo waliochomewa nyumba, watampa JK kura asilimia 100. Sasa huo sio umbumbu? Nampa heko JK kwa kujaribu kuwa mkweli. Ni juu yetu kujiangalia tupo upande gani.
ndo maana yake anajua hata uwike vp! urais anao we unadhani kwann anawakingia kifua wakina EL na RA? huwezi mfanya kitu!Juzi Bwana mkubwa aliporudi ziarani, aliongea uwanjani na waandishi akasema kuwa,haiwezekani kwake kupendwa na watu wote, kwa sababu watu wanatofaotiana kimtazamo, asilimia 15 ya watu wanaweza kumpenda, asilimia 15 watamchukia hata afanye mema, na asilimia 70 wanafata upepo!! Wadau kuhusu hii asilimia 70 ya wa tz kufata upepo haijanikalia sawa, kwa kweli inatoa picha mbaya, inaonyesha kuwa asilimia 70 ya Wa tz ni mambumbumbu??? Great thinkers nakuombeni mtoe mchango wenu kuhusu hii asilimia 70 !!
ukiacha majimbo yaliyo chini ya Upinzani mengineyo yote wapigaji kura wake wanafuata upepo! Mwana wa Kikwere anakuambia utake usitake!Juzi Bwana mkubwa aliporudi ziarani, aliongea uwanjani na waandishi akasema kuwa,haiwezekani kwake kupendwa na watu wote, kwa sababu watu wanatofaotiana kimtazamo, asilimia 15 ya watu wanaweza kumpenda, asilimia 15 watamchukia hata afanye mema, na asilimia 70 wanafata upepo!! Wadau kuhusu hii asilimia 70 ya wa tz kufata upepo haijanikalia sawa, kwa kweli inatoa picha mbaya, inaonyesha kuwa asilimia 70 ya Wa tz ni mambumbumbu??? Great thinkers nakuombeni mtoe mchango wenu kuhusu hii asilimia 70 !!
jamani hii kauli hata mimi imenisikitisha sana, hivi lini sisi tutazinduka????
please say noooooooooooooooooooooo to ccm 2010
Kupimwa akili sio kuonyesha kuwa mtu ana matatizo ya akili. Hizi stigma ndizo zinazofanya watu wasime afya zao.
Kama zipo points dondokeni ama sivyo mtaonekana kuwa mna matatizo ya akili na hamtaki kwenda kupimwa.
hahahaha... Ilongo hapo umeniacha hoiLabda ni katika hiyo asilimia 70 aliyoisema ....