GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 11
Juzi Bwana mkubwa aliporudi ziarani, aliongea uwanjani na waandishi akasema kuwa,haiwezekani kwake kupendwa na watu wote, kwa sababu watu wanatofaotiana kimtazamo, asilimia 15 ya watu wanaweza kumpenda, asilimia 15 watamchukia hata afanye mema, na asilimia 70 wanafata upepo!!
Wadau kuhusu hii asilimia 70 ya wa tz kufata upepo haijanikalia sawa, kwa kweli inatoa picha mbaya, inaonyesha kuwa asilimia 70 ya Wa tz ni mambumbumbu??? Great thinkers nakuombeni mtoe mchango wenu kuhusu hii asilimia 70 !!