Niambie alipimwa akili au alipimwa viungo vya kibaiolojia vya fahamu? Maana naona wengi mnaviweka pamoja wakati ni vitu viwili tofauti.
Matokeo ya vipimo vya mgonjwa wowote ni private matter. Lakini kwa nyinyi mliozoea kupanga foleni kuangalia matokeo ya kidato cha pili, nne na sita yakitolewa hadharani sishangahi kuona mkidai matokeo ya uchunguzi wa afya ya rais.
Kuhusu Richmond, ........ Mmehamua kuendesha nchi kikatiba na kisheria. Kazi za bunge, vyombo vya usalama na sheria viko wapi? Jengeni taasisi na msitegemee rais afanye kila kitu.
Kupimwa akili sio kuonyesha kuwa mtu ana matatizo ya akili. Hizi stigma ndizo zinazofanya watu wasime afya zao.
Kama zipo points dondokeni ama sivyo mtaonekana kuwa mna matatizo ya akili na hamtaki kwenda kupimwa.
Ah, asingekuwa na matatizo ya akili angemteua Sophia Simba mgonjwa wa akili anayeendesha wizara nyeti pamoja kwamba alitakiwa awe mirembe;
Kuhusu Richmond, ........ Mmehamua kuendesha nchi kikatiba na kisheria. Kazi za bunge, vyombo vya usalama na sheria viko wapi? Jengeni taasisi na msitegemee rais afanye kila kitu.
- Rais ndiye the law chief enforcer, sasa majambazi ya Richimonduli kuwepo nje badala ya Segerea ni makosa yake sio taasisi wala anything, kama ni taasisi basi bunge ilishafanya kazi yake kisheria, ni Rais ndiye aliyeshindwa kwa hiyo ni lazima alaumiwe, sasa kumlaumu anybody else zaidi ya Rais, unahitajika kwenda kupimwa akili!
- Wakuu hebu tuache tabia za kuzunguka mibuyu, lets call a spade for what it is, sijawahi kusikia kiongozi akienda kwenye medical check-up, anachekiwa na akili, for that to happen ni lazima kuwepo na a probable course, ama sivyo medical instituiton iliyohusika inaweza kuingia kwenye matata makubwa sana kisheria, kwa sababu ili kupimwa akili ni lazima upelekwe kwenye section ya vichaa au mentally disturbed people, now that is serious kwa mtu ambaye ni mzima kupelekwa huko bila ya sababu ya msingi na sio siri kwamba ni lazima uombe mwenyewe,
- Something is not right na this whole thing ya Rais kupimwa akili, I mean no body here was born yesterday!
Respect.
FMEs!
Kuhusu Richmond, ........ Mmehamua kuendesha nchi kikatiba na kisheria. Kazi za bunge, vyombo vya usalama na sheria viko wapi? Jengeni taasisi na msitegemee rais afanye kila kitu.
Ni kweli tusitegemee rais kwa kila kitu, lakini Urais ni taasisi KUU ktk taifa letu. Na anachosema rais HUWA. Kwa hiyo kama vyombo vya utawala ni legelege, inaleta tafsiri kuwa yeye ni legelege.
Abdulhalim:
Vipi bongo lakini? uliwahi msimu wa maembe? OK tuache utani.
Nakubaliana na wewe kuhusu ukuu wa taasisi ya urais. Je ni lini vyombo vya utawala katika nchi ile ya mababu vilikuwa sio legelege?
Kwa kifupi huwezi kupanda mapera na kutegemea ukwaju. Yanayotokea sasa ni mavuno tu ya tulichopanda.
FMEs:
Kuna kitu kimoja katika siasa. Nacho ni kuziendeleza ishu motomoto laivu ili umshinde mpinzani wako.
EPA, Richmond zilikuwa ni ishu kubwa. Lakini muda unavyozidi kwenda hizo ishu kwa wapiga kura wa kawaida sio ishu tena.
Hivyo kinachofanyika sasa ni kujaribu kuambatanisha ishu ndogo ndogo na ishu ambazo tayari zinazoyoyoma.
Kama kusingekuwepo na EPA, Richmond ni nani angeleta ishu ya yeye kupimwa akili. Na ikiwezekana watu wangeenda misikitini na makanisa kumuombea rais wao nafuu.
Leo hawakutokea baadhi ya viongozi wa zamani kwenye sherehe za uhuru, tayari watu wanaunganisha dots kama ishu.
Naam.. alichaguliwa kwa vigezo hivyo ulivyo vitaja!nauliza swali moja kwa wadanganyika, walimchagua huyu bwa kwa vigezo gani???? ...wakati background yake inajulikana kuwa:- hana upeo, elimu ndogo, majungu, majuju,mtu wa viwanja,msanii,mtu wa washikaji.....