70% ya Watanzania wanafata Upepo - JK

70% ya Watanzania wanafata Upepo - JK

yawezekana akawa sahihi na wasomi ndo wanaoongoza kufuata upepo
 
Niambie alipimwa akili au alipimwa viungo vya kibaiolojia vya fahamu? Maana naona wengi mnaviweka pamoja wakati ni vitu viwili tofauti.

Matokeo ya vipimo vya mgonjwa wowote ni private matter. Lakini kwa nyinyi mliozoea kupanga foleni kuangalia matokeo ya kidato cha pili, nne na sita yakitolewa hadharani sishangahi kuona mkidai matokeo ya uchunguzi wa afya ya rais.

Kuhusu Richmond, ........ Mmehamua kuendesha nchi kikatiba na kisheria. Kazi za bunge, vyombo vya usalama na sheria viko wapi? Jengeni taasisi na msitegemee rais afanye kila kitu.

Mkuu heshima zako,

Nadhani mtu yeyote akipewa dhamana na wananchi,ni HAKI kwa wananchi kujua chochote kuhusu afya yake.Unajua kuwa suala la afya ya Raisi yeyote wa nchi yeyote pia linahusishwa na Usalama wa Taifa pamoja na muelekeo wa Taifa?Kwa mfano,leo mtu aje anagombea Uraisi,halafu atangaze kuwa ana cancer ambayo anatarajiwa kwenda kufanya chemotherapy baada ya uchaguzi.Mtu huyu ni maarufu na katika jopo la wagombea wote,yeye ndiye mwenye nguvu,kweli utampatia kura yako?

Nchi yeyote,umma ni lazima utaarifiwe kama Raisi wao ni mzima na kama si mzima nini kinamsibu.Kwa bahati mbaya sana vitu kama hivi ndiyo "negatives" za kuwa kiongozi wa Nchi.Kila kitu kinakuwa hadharani.

Nimeona tu nigusie tu kwenye suala hilo la afya.Mengine mwisho waja.Hata laws za physics zinasema chochote kikiwa kwenye motion kwenda juu lazima kitarudi chini kutokana na gravity n.k.Mwenye akili ataelewa!

Nawasilisha
 
Kwa hiyo ukichukua ile asilimia yake ya ushindi wa kishindo ya 80% ukatoa 70% ina maana ni 10% tu ndiyo waliamini kuwa yeye anafaa kuwa Rais. Waliobaki walifuata mkumbo. Hiyo inaondoa maana nzima ya ushindi wa kishindo maana ulikuwa ushindi wa kufuata mkumbo
 
Hebu tumsubiri maana alisema atajibu mambo yote... zishapita siku ngapi???

To be honest, siamini kama atajibu chochote kwani hana guts!!!
 
Kupimwa akili sio kuonyesha kuwa mtu ana matatizo ya akili. Hizi stigma ndizo zinazofanya watu wasime afya zao.

Kama zipo points dondokeni ama sivyo mtaonekana kuwa mna matatizo ya akili na hamtaki kwenda kupimwa.

Ah, asingekuwa na matatizo ya akili angemteua Sophia Simba mgonjwa wa akili anayeendesha wizara nyeti pamoja kwamba alitakiwa awe mirembe;
 
Ah, asingekuwa na matatizo ya akili angemteua Sophia Simba mgonjwa wa akili anayeendesha wizara nyeti pamoja kwamba alitakiwa awe mirembe;

Mkuu, rais hafanyi maamuzi peke yake!!!
 
Kuhusu Richmond, ........ Mmehamua kuendesha nchi kikatiba na kisheria. Kazi za bunge, vyombo vya usalama na sheria viko wapi? Jengeni taasisi na msitegemee rais afanye kila kitu.

- Rais ndiye the law chief enforcer, sasa majambazi ya Richimonduli kuwepo nje badala ya Segerea ni makosa yake sio taasisi wala anything, kama ni taasisi basi bunge ilishafanya kazi yake kisheria, ni Rais ndiye aliyeshindwa kwa hiyo ni lazima alaumiwe, sasa kumlaumu anybody else zaidi ya Rais, unahitajika kwenda kupimwa akili!

- Wakuu hebu tuache tabia za kuzunguka mibuyu, lets call a spade for what it is, sijawahi kusikia kiongozi akienda kwenye medical check-up, anachekiwa na akili, for that to happen ni lazima kuwepo na a probable course, ama sivyo medical instituiton iliyohusika inaweza kuingia kwenye matata makubwa sana kisheria, kwa sababu ili kupimwa akili ni lazima upelekwe kwenye section ya vichaa au mentally disturbed people, now that is serious kwa mtu ambaye ni mzima kupelekwa huko bila ya sababu ya msingi na sio siri kwamba ni lazima uombe mwenyewe,

- Something is not right na this whole thing ya Rais kupimwa akili, I mean no body here was born yesterday!

Respect.

FMEs!
 
JK yupo sahihi na anatamani hiyo % izidi kuongezeka kwasababu wananchi wanafuata upepo ndio wanaoiweka ccm madarakani wakati wa uchaguzi.. at the same time hapendi hao wafuata upepo wafuate upepo wa kumkosoa.
 
- Rais ndiye the law chief enforcer, sasa majambazi ya Richimonduli kuwepo nje badala ya Segerea ni makosa yake sio taasisi wala anything, kama ni taasisi basi bunge ilishafanya kazi yake kisheria, ni Rais ndiye aliyeshindwa kwa hiyo ni lazima alaumiwe, sasa kumlaumu anybody else zaidi ya Rais, unahitajika kwenda kupimwa akili!

- Wakuu hebu tuache tabia za kuzunguka mibuyu, lets call a spade for what it is, sijawahi kusikia kiongozi akienda kwenye medical check-up, anachekiwa na akili, for that to happen ni lazima kuwepo na a probable course, ama sivyo medical instituiton iliyohusika inaweza kuingia kwenye matata makubwa sana kisheria, kwa sababu ili kupimwa akili ni lazima upelekwe kwenye section ya vichaa au mentally disturbed people, now that is serious kwa mtu ambaye ni mzima kupelekwa huko bila ya sababu ya msingi na sio siri kwamba ni lazima uombe mwenyewe,

- Something is not right na this whole thing ya Rais kupimwa akili, I mean no body here was born yesterday!

Respect.

FMEs!

FMEs:

Kuna kitu kimoja katika siasa. Nacho ni kuziendeleza ishu motomoto laivu ili umshinde mpinzani wako.

EPA, Richmond zilikuwa ni ishu kubwa. Lakini muda unavyozidi kwenda hizo ishu kwa wapiga kura wa kawaida sio ishu tena.

Hivyo kinachofanyika sasa ni kujaribu kuambatanisha ishu ndogo ndogo na ishu ambazo tayari zinazoyoyoma.

Kama kusingekuwepo na EPA, Richmond ni nani angeleta ishu ya yeye kupimwa akili. Na ikiwezekana watu wangeenda misikitini na makanisa kumuombea rais wao nafuu.

Leo hawakutokea baadhi ya viongozi wa zamani kwenye sherehe za uhuru, tayari watu wanaunganisha dots kama ishu.
 
Kuhusu Richmond, ........ Mmehamua kuendesha nchi kikatiba na kisheria. Kazi za bunge, vyombo vya usalama na sheria viko wapi? Jengeni taasisi na msitegemee rais afanye kila kitu.

Ni kweli tusitegemee rais kwa kila kitu, lakini Urais ni taasisi KUU ktk taifa letu. Na anachosema rais HUWA. Kwa hiyo kama vyombo vya utawala ni legelege, inaleta tafsiri kuwa yeye ni legelege.
 
Ni kweli tusitegemee rais kwa kila kitu, lakini Urais ni taasisi KUU ktk taifa letu. Na anachosema rais HUWA. Kwa hiyo kama vyombo vya utawala ni legelege, inaleta tafsiri kuwa yeye ni legelege.

Abdulhalim:

Vipi bongo lakini? uliwahi msimu wa maembe? OK tuache utani.

Nakubaliana na wewe kuhusu ukuu wa taasisi ya urais. Je ni lini vyombo vya utawala katika nchi ile ya mababu vilikuwa sio legelege?

Kwa kifupi huwezi kupanda mapera na kutegemea ukwaju. Yanayotokea sasa ni mavuno tu ya tulichopanda.
 
watz kweli ni mambumbumbu, walimshangilia sana huyu na kumchagua, lakini jamani huyu mtu background yake inajulikana kabla hajaukwaa urais
1-hana upeo wa kuongoza
2-chekbob
3-mtu wa anasa
5-alikuwa akishinda vilabuni
6-mtu wa makundi- na ndio maana amejiwekea mtandao ktk uongozi
7-n.k n.k
 
Abdulhalim:

Vipi bongo lakini? uliwahi msimu wa maembe? OK tuache utani.

Nakubaliana na wewe kuhusu ukuu wa taasisi ya urais. Je ni lini vyombo vya utawala katika nchi ile ya mababu vilikuwa sio legelege?

Kwa kifupi huwezi kupanda mapera na kutegemea ukwaju. Yanayotokea sasa ni mavuno tu ya tulichopanda.

Kiongozi sikwenda popote..kuna MOD mmoja kwa sababu anazozijua yeye alinilazimisha niwe msomaji karibu mwezi sasa..nway nimeachana nae maana kuna watu wanaugua kukua kwa mwili kusikoendana na ukuaji wa akili.

Nakubaliana na wewe kuwa nchi haikuwahi kuwa na tasisi imara za kiutawala tangia wakoloni waiunde hii nchi. Tatizo ni kuwa wananchi wenyewe hawapo aware, yaani wapowapo tu. Hawayajui matatizo yao ni yepi na yatatuliwa vipi. Wananchi hovyohovyo huchagua utawala hovyohovyo, nao huweka utawala hobelahobela, mfano wa genge la wanyang'anyi hivi.
 
JK katoka huko alikokuwa na hasira zake, sijui hakufanikiwa aliyoyafuata au vipi,anakuja na kusema 70% ya watanzania wanafuata upepo. Yaani wananchi waliomweka madarakani ni wafuata upepo? Hili bado halijaniingia hakilini vizuri. naona amewachoka wananchi wake, na kwa kauli hiyo inaonesha kuwa ni mtu ambaye ameshindwa kuchukua mahamuzi katika mambo mbalimbali na hataki tena kuulizwa maswali ni kwanini mambo hayo bado yapo na hataki kuyachukulia maamuzi
 
FMEs:

Kuna kitu kimoja katika siasa. Nacho ni kuziendeleza ishu motomoto laivu ili umshinde mpinzani wako.

EPA, Richmond zilikuwa ni ishu kubwa. Lakini muda unavyozidi kwenda hizo ishu kwa wapiga kura wa kawaida sio ishu tena.

Hivyo kinachofanyika sasa ni kujaribu kuambatanisha ishu ndogo ndogo na ishu ambazo tayari zinazoyoyoma.

Kama kusingekuwepo na EPA, Richmond ni nani angeleta ishu ya yeye kupimwa akili. Na ikiwezekana watu wangeenda misikitini na makanisa kumuombea rais wao nafuu.

Leo hawakutokea baadhi ya viongozi wa zamani kwenye sherehe za uhuru, tayari watu wanaunganisha dots kama ishu.

- Mkuu wangu hata yule Rais wa zamani wa Rumania aliamini hivi hivi kwamba ishu za zamani zimepita, mpaka siku alipoliwa shaba na wananchi kwa ishu zile zile za zamani ndio kikaeleweka kwa marais wote magoi goi Duniani,

- kwamba sheria za jamhuri zikivunjwa kuna siku lazima itatolewa kafara tu na linapendeza anapokuwa Rais wa zamani kwa ishu za zamani pia!

Respect.

FMEs!
 
nauliza swali moja kwa wadanganyika, walimchagua huyu bwa kwa vigezo gani???? ...wakati background yake inajulikana kuwa:- hana upeo, elimu ndogo, majungu, majuju,mtu wa viwanja,msanii,mtu wa washikaji.....
 
Na asilimia mia moja ya mafisadi itakupenda ikiwa mula rushwa
 
nauliza swali moja kwa wadanganyika, walimchagua huyu bwa kwa vigezo gani???? ...wakati background yake inajulikana kuwa:- hana upeo, elimu ndogo, majungu, majuju,mtu wa viwanja,msanii,mtu wa washikaji.....
Naam.. alichaguliwa kwa vigezo hivyo ulivyo vitaja!
 
Back
Top Bottom