Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Waislamu walioa wake zaidi ya mmoja nchini UAE ni wahamiaji hasa kutoka Afrika na other poor Asian Countries, lakini pure UAE Arabs have only one man one woman, hii inakwambia nini?
Ikumbukwe kwamba UAE inaruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja kiislamu lakini Emirate men wanaoa mwanamke moja tu na kuanzisha familia bora.
Polygamy = Umaskini + low IQ!
Ikumbukwe kwamba UAE inaruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja kiislamu lakini Emirate men wanaoa mwanamke moja tu na kuanzisha familia bora.
Polygamy = Umaskini + low IQ!