75% ya reels za kibongo zimejaa taswira ya makalio makubwa na uhimizaji wa ngono

75% ya reels za kibongo zimejaa taswira ya makalio makubwa na uhimizaji wa ngono

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
822
Reaction score
2,966
I dare you nenda tik tok na insta, then scroll reels zenye asili ya kibongo ni makebo utakutana nayo kwa wingi bila kupenda,

Uongeaji wa matusi ya nguoni na utakutana na video zenye asili ya utupu utupu ambazo zinaita ngono na ufuska.
 
I dare you nenda tik tok na insta, then scroll reels zenye asili ya kibongo ni makebo utakutana nayo kwa wingi bila kupenda, uongeaji wa matusi ya nguoni na utakutana na video zenye asili ya utupu utupu ambazo zinaita ngono na ufuska.
Algorithm mkuu , huenda unapenda sana kuangalia hizo contents ndiyo maana AI inakupa unachotaka.
 
Algorithm mkuu , huenda unapenda sana kuangalia hizo contents ndiyo maana AI inakupa unachotaka.
Teknolojia inaweza kukuaibisha sana😀

Ona mwanetu anavyojiaibisha yeye mwenyewe pasipo kujua social networks siku hizi zinakuletea suggestions ya mambo ambayo huwa unayasearch sana uiongiapo.

Siku hizi ukitaka kujua mtu anafanyaga nn kwenye social medias zake, basi ingia kwenye app yoyote na uangalie suggestions anazoletewa.
 
Mimi huwa naletewa sana picha za wanawake lakini sina mazoez ya ku search maudhui ya aina hiyo. Nawezaje kuepukana na hizo contents?
 
Mkuu unaelew maan ya intertainment ama social media.hii hukupa kile unachokitak so huend ni chaguo lako hilo umefany bila kujua
 
Teknolojia inaweza kukuaibisha sana😀

Ona mwanetu anavyojiaibisha yeye mwenyewe pasipo kujua social networks siku hizi zinakuletea suggestions ya mambo ambayo huwa unayasearch sana uiongiapo.

Siku hizi ukitaka kujua mtu anafanyaga nn kwenye social medias zake, basi ingia kwenye app yoyote na uangalie suggestions anazoletewa.
Ni kweli ,mimi kuna kipindi nilikuwa na search kitu fulani hivi Google /Youtube aisee basi ukiingia facebook/instagram yaani full contents za nilichokuwa nasearch.
 
Kuna kitu inaitwa Algorithm boss... Mimi kwenye insta yangu ukiingia kwenye reels ni mwendo wa kdrama na kpop, gospel na comedy kidogo. TikTok zimejaa zile AI drama, BTS na misosi 😁😁 navyopenda kula
 
Mimi huwa naletewa sana picha za wanawake lakini sina mazoez ya ku search maudhui ya aina hiyo. Nawezaje kuepukana na hizo contents?
Kiujumla ni kwamba vile ambavyo unapendaga kuviangalia mara kwa mara algorithm inanote na itakuwa inakuletea suggestion kulingana na muda mwingi umeutumia kuview nini.
 
We jamaa ni mshamba wa matumizi ya mitandao? Kile unachopendelea kukiangalia muda mrefu ndicho utakacholetewa kwa wingi. We hupenda kuangalia mambo hayo wacha ujaziwe kwa wingi
 
Back
Top Bottom