78% of Tanzanians on the brink of starvation. 35% of Tanzanian kids are malnourished.

Status
Not open for further replies.

Malnutrition in Tanzania: will food fortification laws work?
 
Hawa huwa na njaa kubwa sana sema media zao huwa zimebanwa, yaani wanaishi kama Korea ya Kaskazini Kyle ambapo ni sheria kukenua meno siku zote hata kama una njaa.
78% ni wengi sana, pole zao.
Acha uongo wewe, njaa ya Tanzania huwezi ilinganisha na ya Kenya hata kidogo, pole sana
 
Tanzania’s rice exports to Kenya, Rwanda to increase
Wewe umepanic sana, unataka kushindana na Tanzania wakati hata Rwanda inawashinda katika chakula, hiyo ripoti ya UN uliyoweka hapo, point ya kwanza inasema wazi kwamba Tanzania inajitosheleza kwa chakula, avha upuuzi wako.

Sasa ona hiyo link niliyoweka, Kenya ineagiza mchele tani 85,000 na Rwanda 65,000. Wiki jana Kenya imeagiza mahindi tani laki 2, sasa tungekuwa na njaa hicho chakula tungekubali kuwauzia?. Tutaendelea kuwalisha kama watoto wadogo, wajinga sana ninyi.
 
Nadhani hapa tunashindwa kutofautisha kuna nchi zinastarve to death na sisi watz our starvation sio kwamba hatuna chakula completely no,ni vile watu hawana enough cash to afford all three meals per day.....na sio kwamba chakula hakipo. hii ni tofauti na Kenya,wenzetu watu wanafikia hatua ya kufariki kutokana na kukosa chakula mf.Turkana area.
 
Mnauzia Kenya mahindi wakati Tanzania Kuna njaa? Ndio maana only 4M Kenyans face starvation while 40M Tanzanians face the same yet Tanzania is 40% bigger with very few arid areas
Stupid poor hungry boy, 1027/- bob ndio inafanya utapetape hapa pendling shithole lies? Wewe kwenu ndeiya kiambu mnapewa msaada..Kwenye mkeo ametoka Murang'a watu wanakufa njaa hata maji hakuna.Mathare slum unapo kodisha nyuma ni chorela tupu.
You are a curse and shame to kikuyu enterprenureship spirit, earning cheap propaganda money and spending it on illicit brews
 
Acha uongo wewe, njaa ya Tanzania huwezi ilinganisha na ya Kenya hata kidogo, pole sana

Mtatumia nguvu nyingi kukesha humu mkikanusha hizi takwimu, na kuandika insha ambazo hatuzisomi, maana wengine mpo kikazi kwa malipo ya CCM, ila haitobadilisha hali halisi kwamba ndugu zenu wanapitia hali ngumu, hali mbaya lakini mumewakandamiza na kubana vymbo vya habari.

Huwa aibu sana nchi yenu hiyo kutajwa ndani ya umaskini wakati mna kila aina ya raslimali, sijui mna laana gani kwa kweli.
 
Hawa wenzako wana matatizo sana, hata hili la chakula, ambalo ni jambo lipowazi kwamba Kenya inaitegemea sana Tanzania kwa chakula, pia wanaanza kubisha. Hii hapa chini ni ripoti ya FAO inayoonyesha kwanba Tanzania mwaka jana imezalisha zaidi ya tani milioni 10 za cereals, wakati Kenya imezalisha 3.9M.

Tanzania inazalisha cereals kwa wingi zaidi kuliko nchi zote za EA combined, Tanzania inauzia chakula nchi zote za EA isipokua Uganda pekee inajitosheleza
 
Vigeugeu vimeanza sasa eti chakula kwa wingi lakini hamna pesa ya kununua! Na huo ukarimu wenu wote na ujamaa,kwa nini msifanye food donations. Ama ni kazi tu ya kuuza chakula Kenya huku wananchi wenu wakifa njaa? Bongolala kweli hawa!
 
Mkuu nimejiajiri sijaajiriwa na sina chama japo wengi wanadhani nipo kijani hapana hivyo tena kauli tafadhali
 
Vigeugeu vimeanza sasa eti chakula kwa wingi lakini hamna pesa ya kununua! Na huo ukarimu wenu wote na ujamaa,kwa nini msifanye food donations. Ama ni kazi tu ya kuuza chakula Kenya huku wananchi wenu wakifa njaa? Bongolala kweli hawa!

Hizo ni scripts huwa wamekaririshwa jinsi ya kujibu, kwamba ikisemekana tuna njaa mseme chakula kingi changamoto usafiri tu, yaani bora akeshe humu akizungusha zungusha lakini hatokubali ukweli ndugu zake wanateseka. Utakuta mtu anakesha Kenyan forums unashindwa anapata lini nafasi ya kuoga jameni....hehehe

Hebu nenda JF jukwaa la siasa zao, wamezikimbia maana kule wanaambiwa bila kufichwa, tena wanaambiwa na Watanzania wenzao walio Tanzania na kuona hali ilivyo, na ambao hauwezi kuwafikia sio kama media. jaribu ufuatilie, hawa hukesha humu hutawaona hata siku moja wakichangia kule kwa hayo majukwaa ya Watanzania wenzao maana hutukanwa sana
 
Vigeugeu vimeanza sasa eti chakula kwa wingi lakini hamna pesa ya kununua! Na huo ukarimu wenu wote na ujamaa,kwa nini msifanye food donations. Ama ni kazi tu ya kuuza chakula Kenya huku wananchi wenu wakifa njaa? Bongolala kweli hawa!
Wewe kwa mshahara yako ya 1027/- Ebu tuambie vile wewe hutumia..Unaweza nunua chakula balanced diet kweli? nabado ulipe mungiki ya matatu fare kila siku, stima ulipe na ka-single room hapo pipeline..Mamako mzazi bado anahitaji pesa kutokwa kwako sababu ya njaa.
Weka picha yako hapa tuone kama hauko maunourished. Stupid poor mungiki keyboard warrior
 
hahah Tilalila...middle income country yet the Uhuruto cant make her people shit! you people are masters of cooking data!

I deliberately used your Twaweza source. - does it mean the figures you posted about Kenya are cooked too? Btw, are you among the 78% malnourished Tanzanians or 22% lucky ones?
 


Buying food is not starving my friend. Which school did you go to? We buy your food, you starve. 78% starving souls.
 


Povu litakutoka likwishe. Waswahili husema Mkuki Kwa nguruwe mtamu Kwa binadamu chungu. You've been fishing articles about hunger in Kenya here for too long some of you had started believing there's no hunger in Tanzania. This time tutawatolea statistics hadi kieleweke.
 
Buying food is not starving my friend. Which school did you go to? We buy your food, you starve. 78% starving souls.
Since I know your salary is 30k per month from Itumbi, Tell us what you are able to buy as food per day and what your peasant salary can afford in rent. Lazy fellow, Get into business and earn money not depend of bullshit propaganda money that can only afford you a shanty in kibera
 


I thought you said Kenya kuna high unemployment na Tz hakuna unemployment. Sasa hawa Watanzania walio na ajira mbona wanashindwa kununua chakula ilhali Wakenya wasio na ajira wanakinunua?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…