78% of Tanzanians on the brink of starvation. 35% of Tanzanian kids are malnourished.

Status
Not open for further replies.
Malnutrition ni tofauti na njaa. Tz chakula kipo kingi tu . Shida ni namna ya kukiandaa na mchanganyiko wa mlo kamili. Sehemu zinazozalisha chakula ndio kuna shida ya malnutrion kutokana na wazazi kuwa bize na kazi watoto wanapikiwa githeri muda wote shida nyingine ni culture ya kula chakula cha asili mfano *ndizi* ugali* wali* . Sehemu sizizo na chakula wanaokoteza vyakula tofauti na wameacha mazoea.
 
Unga is retailing at $0.60 a kilo in tz and they always yap here about exorbitant prices of commodities in Kenya
 
Malnutrition ni tofauti na njaa. Tz chakula kipo kingi tu . Shida ni namna ya kukiandaa na mchanganyiko wa mlo kamili. Sehemu zinazozalisha chakula ndio kuna shida ya malnutrion kutokana na wazazi kuwa bize na kazi watoto wanapikiwa githeri muda wote shida nyingine ni culture ya kula chakula cha asili mfano *ndizi* ugali* wali* . Sehemu sizizo na chakula wanaokoteza vyakula tofauti na wameacha mazoea.

Wewe umeelewa nini kinasemwa humu, au umedandia, 78% are suffering food shortage not malnutrition.
 
Hakuna food shortage. Acheni propaganda zenu. Hakuna food shortage asilani. Tumevuna chakula kinachotosha miaka miwili na zaidi. Unajua production capacity ya " mbeya, ruvuma,rukwa katavi, morogoro, songwe na shinyanga kwenye cereal?. Wakenya wenzenu wapo huku wananunua nyie mnashinda humu na propaganda uchwara.
 
Utafiti umefanywa na TWAWEZA, wana uwezo wa kupenya maeneo ambayo ni ndoto kwako.
 
Malnutrition ni tofauti na njaa. Tz chakula kipo kingi tu . Shida ni namna ya kukiandaa na mchanganyiko wa mlo kamili. Sehemu zinazozalisha chakula ndio kuna shida ya malnutrion kutokana na wazazi kuwa bize na kazi watoto wanapikiwa githeri muda wote shida nyingine ni culture ya kula chakula cha asili mfano *ndizi* ugali* wali* . Sehemu sizizo na chakula wanaokoteza vyakula tofauti na wameacha mazoea.

Learn to read and understand first before you respond to my post.
 
Utafiti umefanywa na TWAWEZA, wana uwezo wa kupenya maeneo ambayo ni ndoto kwako.
Acheni * usinitch* kwa majirani sio poa. Si hatunaga mambo hayo. Siku ukitembelea mbeya tutakuuzia ndizi tu kwa kes 10 ule uzimalize.
 
Wala usipoteze nguvu, wanajua ukweli, hiyo ripoti ya Twaweza ni 2017 mwaka ambao wakenya wengi walikufa kwa njaa, na Kenya ilinunua mahindi toka Mexico, mbona sasa hivi hawaagizi tena Mahindi?

Kama kweli tuna upungufu wa chakula kwanini wao wananunua chakula toka kwetu.
Rice export from Tanzania to Kenya and Rwanda increases | Azam | News | English
 
Utafiti umefanywa na TWAWEZA, wana uwezo wa kupenya maeneo ambayo ni ndoto kwako.
Unaleta habari za 2017? Mkuu sasa ni 2018 chakula TZ ni zaidi ya mahitaji
 
Kuna jamaa aliulizwa bei ya unga Tanzagiza hadi waleo hajajibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom