78% of Tanzanians on the brink of starvation. 35% of Tanzanian kids are malnourished.

Status
Not open for further replies.
Are you just describing your pathetic self? If you're here for hire don't think everyone else is that cheap. I can buy you and your poor clan at a twirl of a finger! Fish-lake moron!
Huyo ni wakupuuzwa tu
 
Tony inaonekana eneo la nutrition sio eneo lako kabisa, huo upungufu wa hizo protini unasababisha kwashakoo tu. Malnutrition ni upungufu au kuongezeka kwa aina moja au zaidi ya nutrients mwilini. Malnutrition ni tatizo la dunia nzima, 30% ya watoto wa black population wana malnutrition, 22-25% wa watoto Kenya wako stunted kwa sababu ya malnutritions.

Ukikosa vyakula vywa wanga(cereals), kama ambavyo sasa hivi ni tatizo kubwa Kenya, ugonjwa unaitwa marasmus, upungufu wa protein, ugonjwa unaitwa kwashiorkor.

Stunted mara nyingi haisababishwi na ukosefu wa chakula, badala yake ni ukosefu wa kumpa mtoto chakula cha mchanganyiko bora kwa ajili ya ukuaji wa mtoto, hili ni tatizo la elimu zaidi au mila, desturi na tamaduni zetu.
 
Asante kwa kunielimisha. Ni kweli nutrition sio eneo langu.
 
Vigeugeu vimeanza sasa eti chakula kwa wingi lakini hamna pesa ya kununua! Na huo ukarimu wenu wote na ujamaa,kwa nini msifanye food donations. Ama ni kazi tu ya kuuza chakula Kenya huku wananchi wenu wakifa njaa? Bongolala kweli hawa!
Kuna taarifa ya Mtanzania kufa njaa? Sijawahi kuisikia, sijui imetokea wapi. Mara ya mwisho Nilisikia nchi ilikumbwa na njaa ya ajabu ni mwaka 1974, zaidi ya hapo ni ukame mdogo eneo moja mvua za kutosha eneo lingine.
 
Hivi kweli unafikiri kuna kidume kwenye njaa? Utawezaje kuificha na mitandao hii iliyojaa? Kuna msanii aliimba "adui muombee njaa, atanyosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa" njaa haifichiki kabisa.

Najua unaijua Tz, kwa Tz eneo hatari kama litakumbwa na njaa ni kanda ya ziwa tu, kwakuwa wanategemea mazao ya msimu na ya muda mfupi. Mazao ya nafaka, na tatizo kubwa zaidi ni familia kubwa, hawa jamaa wanajua kufyatua watoto sana. Bahati nzuri yao wana mifugo na ni ma had worker kwelikweli.

Taarifa, kwa sasa kanda ya ziwa ni msimu wa mavuno. Na mwaka huu wamevuna nafaka nyingi kupita misimu iliyopita. Mvua zinaendelea, hivyo wanapanda tena mle walikovuna. Kubwa zaidi, mwaka huu zao lao la kibiashara "pamba" litavunwa kwa kiwango kikubwa kiasi tunaanza kuhofu soko.

Hakuna njaa Tanzania, hao watafiti warudie tena. Mikoa mingine hata siiongelei, huwa njaa wanaisoma ktk vitabu vya historia. Lindi na Mtwara korosho imewapa kiburi mwaka huu.
 
how much does your Lazy Tanzanian self make.. right.. you are jobless most of you
 
how much does your Lazy Tanzanian self make.. right.. you are jobless most of you
Misplaced anger, Nani amekwambia mimi ni mTz? Am kenyan born and brought up at the foothills of abadares hills. Wewe unaishi wapi kenya nikwambie hata mwenye duka unaponunua mkate kila siku. But unlike you, I earn from my business I dont collect propaganda money from Jubilee..30k pm buda unaishi chochoro gani huko korogocho?
 
earn from what business sleeping under a coconut tree hahahaha
 

oh ya.... ur business DUUUHHHHHH
 
The only thing you lazy kikuyus know is fvcking farm animals, No wonder you keep posting pics of goats and cows, they are bae to you

Duuuuhhhhhhh they are pictures of the Tanzanians i found on facebook.. unajua.. mambuzi wa EA... hahahahaha look in the mirror don't u look like a goat??? cause you reason like one.. speak like one DUUUUHHHHH DARRR Dar Es Salaam
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…