joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tanzania’s rice exports to Kenya, Rwanda to increaseWho's government subsidies? Whose tax does the said government use to offer those subsidies?
Wenzio turkana wanakufa huko unaleta nyuzi ya lini sijui, Tz msosi upo tele na ni the cheapest EAC nzima.Just in case some idiot forgets.
Wenzio turkana wanakufa huko unaleta nyuzi ya lini sijui, Tz msosi upo tele na ni the cheapest EAC nzima.
Sasa usijilanganishe na sisi.
Malnutrition ni tofauti na njaa. Tz chakula kipo kingi tu . Shida ni namna ya kukiandaa na mchanganyiko wa mlo kamili. Sehemu zinazozalisha chakula ndio kuna shida ya malnutrion kutokana na wazazi kuwa bize na kazi watoto wanapikiwa githeri muda wote shida nyingine ni culture ya kula chakula cha asili mfano *ndizi* ugali* wali* . Sehemu sizizo na chakula wanaokoteza vyakula tofauti na wameacha mazoea.Bring me evidence like this.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
Malnutrition ni tofauti na njaa. Tz chakula kipo kingi tu . Shida ni namna ya kukiandaa na mchanganyiko wa mlo kamili. Sehemu zinazozalisha chakula ndio kuna shida ya malnutrion kutokana na wazazi kuwa bize na kazi watoto wanapikiwa githeri muda wote shida nyingine ni culture ya kula chakula cha asili mfano *ndizi* ugali* wali* . Sehemu sizizo na chakula wanaokoteza vyakula tofauti na wameacha mazoea.
Hakuna food shortage. Acheni propaganda zenu. Hakuna food shortage asilani. Tumevuna chakula kinachotosha miaka miwili na zaidi. Unajua production capacity ya " mbeya, ruvuma,rukwa katavi, morogoro, songwe na shinyanga kwenye cereal?. Wakenya wenzenu wapo huku wananunua nyie mnashinda humu na propaganda uchwara.Wewe umeelewa nini kinasemwa humu, au umedandia, 78% are suffering food shortage not malnutrition.
Hakuna food shortage. Acheni propaganda zenu. Hakuna food shortage asilani. Tumevuna chakula kinachotosha miaka miwili na zaidi. Unajua production capacity ya " mbeya, ruvuma,rukwa katavi, morogoro, songwe na shinyanga kwenye cereal?. Wakenya wenzenu wapo huku wananunua nyie mnashinda humu na propaganda uchwara.
Malnutrition ni tofauti na njaa. Tz chakula kipo kingi tu . Shida ni namna ya kukiandaa na mchanganyiko wa mlo kamili. Sehemu zinazozalisha chakula ndio kuna shida ya malnutrion kutokana na wazazi kuwa bize na kazi watoto wanapikiwa githeri muda wote shida nyingine ni culture ya kula chakula cha asili mfano *ndizi* ugali* wali* . Sehemu sizizo na chakula wanaokoteza vyakula tofauti na wameacha mazoea.
Acheni * usinitch* kwa majirani sio poa. Si hatunaga mambo hayo. Siku ukitembelea mbeya tutakuuzia ndizi tu kwa kes 10 ule uzimalize.Utafiti umefanywa na TWAWEZA, wana uwezo wa kupenya maeneo ambayo ni ndoto kwako.
Unapotosha mazee hakuna cha read and understand.Learn to read and understand first before you respond to my post.
Wala usipoteze nguvu, wanajua ukweli, hiyo ripoti ya Twaweza ni 2017 mwaka ambao wakenya wengi walikufa kwa njaa, na Kenya ilinunua mahindi toka Mexico, mbona sasa hivi hawaagizi tena Mahindi?Acheni * usinitch* kwa majirani sio poa. Si hatunaga mambo hayo. Siku ukitembelea mbeya tutakuuzia ndizi tu kwa kes 10 ule uzimalize.
Unaleta habari za 2017? Mkuu sasa ni 2018 chakula TZ ni zaidi ya mahitajiUtafiti umefanywa na TWAWEZA, wana uwezo wa kupenya maeneo ambayo ni ndoto kwako.