GE2025 7media ya Baba Levo wamepata ajari ya gari Morogoro wakitokea Kigoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Gari aina ya Alphard lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Kituo chetu cha 7 Media limepata ajali mkoani Morogoro, wakitokea Kigoma kwenye mapokezi ya mgombea ubunge wa Jimbo hilo, Clayton Revacatus Chipando (Baba Levo) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho.

Kwa neema ya Mungu, watu wote waliokuwemo ndani ya gari hilo wapo salama, ingawa wamepata majeraha madogo. Polisi wamefika eneo la tukio kwa ajili ya kubaini chanzo cha ajali hiyo.

Soma pia: Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana

Screenshot 2025-08-28 091903.png
 
View attachment 3456561
Ana bahati wabongo tungeshawahi kusema amewatoa kafara Ili ashinde ubunge.
 
Back
Top Bottom