tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Sio lazima barabarani majanga mengi,mengine ya kutengenezewa.Uzuri mmoja uzembe wa vilaza , pia unawatafuna vilaza pia.
Tuko pamoja mkuu, hicho hicho unachowaza ndo chenyeweHivi tuko pamoja au mimi tu ndo nna mawazo ya kishetani?
Ana bahati wabongo tungeshawahi kusema amewatoa kafara Ili ashinde ubunge.Gari aina ya Alphard lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Kituo chetu cha 7 Media limepata ajali mkoani Morogoro, wakitokea Kigoma kwenye mapokezi ya mgombea ubunge wa Jimbo hilo, Clayton Revacatus Chipando (Baba Levo) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho.
Kwa neema ya Mungu, watu wote waliokuwemo ndani ya gari hilo wapo salama, ingawa wamepata majeraha madogo. Polisi wamefika eneo la tukio kwa ajili ya kubaini chanzo cha ajali hiyo.
Soma pia: Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana
View attachment 3456561
Haya maneno naonaga kwenye ndinga za Japan.要是那场事故把他们全都杀了就好了
Pamoja kabisaaaa…. Humo humoHivi tuko pamoja au mimi tu ndo nna mawazo ya kishetani?
Mungu nifundishe kunyamaza要是那场事故把他们全都杀了就好了
Yàoshi nà chǎng shìgù bǎ tāmen quándōu shāle jiù hǎole要是那场事故把他们全都杀了就好了
Ogopa kafaraHivi tuko pamoja au mimi tu ndo nna mawazo ya kishetani?