8 KDF soldiers killed near Dobley, Somalia

Nitakurudisha nyuma kodogo kupitia kikundi cha ISIS na kwanini ilikuwq shida kuwavamia na walikuwa wanashikilia maeneo yanayojulikana na wanasilaa kubwa zaidi ya Al Shabaab. Tatizo lilikuwa hilo hilo watu waisio na hatia waliokiwa wanashikiliwa na ISIS. Al Shbaab wako Somalia na wanashikilia sio misitu, wanashikilia miji kuanzia Kisimayo maeneo mengine waliyoyateka ya Mogadishu mpaka Elbur nk. Sio Al Shabaab tu wako huko, kuna raia wengi sana pamoja na watoto wasio na hatia wako huko. Wamarekani waingia Somalia usiku usiku kutokea Africom yao wanajaribu wanashindwa wanakimbia. Vita ya mijini haipigani kama vita ya msituni. Bila na wewe kujibadilisha kuwa kama wao, tunnel to tunnel, cave to cave hatamaliza hii vita. Na ukisema uwanyime chakula maji na vinginevyo ndio unamaliza na wasio kuwa na hatia. Iraq wamefanikiwa kwa kiasi fulani kuwaondoa ISIS maeneo ya ndani ya Iraq sio kwa kutumia mbinu yao hao hao ISIS, kumwaga wasio julikana, leo hii watu wengi wamekombolewa.
 
Kwenye mambo serious sisi tunafanya mizaha ya kipumbavu..waTanzania tubadilike..sio poa ht kidogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…