8 KDF soldiers killed near Dobley, Somalia

8 KDF soldiers killed near Dobley, Somalia

Kaka bado unakosea sana, Alshabaab hawachanganyiki kabisa na raia, jaribu kuuliza. Alshabaab kuna maeneo na miji ndani ya Somalia ambayo yapo chini ya Jeshi la Alshabaab na yanajulikana kabisa, kama ambavyo walikuwa wameshikilia bandari ya Kismayu wakati Uganda wameshikilia Mogadishu. Tafdhali ondoa mawazo kwamba Alshabaab wamechanganyika na watu, wangewezaje kuwa na silaha kubwakubwa kama magari ya kivita na vifaru walivyovikamata toka majeshi ya Kenya na Burundi walipovamia kambi zao?, wangewezaji kukusanya kodi toka kwa raia ili waweze kupata pesa za kuendesha vita?, wangewezaje kuendesha biashara ya mkaa kwa kiwango kikubwa kiasi hiki kama wamejificha ndani ya raia?.Kumbuka sasa hivi Somalia imegawanyika kama Syria, kuna maeneo yapo mikononi mwa Kenya(kusini), Uganda(katikati,), Burundi(kusini magharibi), Alshabaab( katikati na kaskazini magharibi). Djibout and Ethiopia(kaskazini na kaskazini mashariki). Ninajua utashangaa kwanini wasivamie hayo maeneo yao wakawatoa haraka, hilo ndilo swali ambalo kila mtu anajiuliza.
Nitakurudisha nyuma kodogo kupitia kikundi cha ISIS na kwanini ilikuwq shida kuwavamia na walikuwa wanashikilia maeneo yanayojulikana na wanasilaa kubwa zaidi ya Al Shabaab. Tatizo lilikuwa hilo hilo watu waisio na hatia waliokiwa wanashikiliwa na ISIS. Al Shbaab wako Somalia na wanashikilia sio misitu, wanashikilia miji kuanzia Kisimayo maeneo mengine waliyoyateka ya Mogadishu mpaka Elbur nk. Sio Al Shabaab tu wako huko, kuna raia wengi sana pamoja na watoto wasio na hatia wako huko. Wamarekani waingia Somalia usiku usiku kutokea Africom yao wanajaribu wanashindwa wanakimbia. Vita ya mijini haipigani kama vita ya msituni. Bila na wewe kujibadilisha kuwa kama wao, tunnel to tunnel, cave to cave hatamaliza hii vita. Na ukisema uwanyime chakula maji na vinginevyo ndio unamaliza na wasio kuwa na hatia. Iraq wamefanikiwa kwa kiasi fulani kuwaondoa ISIS maeneo ya ndani ya Iraq sio kwa kutumia mbinu yao hao hao ISIS, kumwaga wasio julikana, leo hii watu wengi wamekombolewa.
 
Kwenye mambo serious sisi tunafanya mizaha ya kipumbavu..waTanzania tubadilike..sio poa ht kidogo..
 
Back
Top Bottom