CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
VITENDO VYA UTEKAJI, NA WATOTO KUPOTEA VINATUKWAZA MNO WATANZANI.
HILI NI TATIZO KUBWA SANA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana itakurudia mwenyewe....Mimi si sehemu ya laana hiyo kwani sikushiriki kwenye wizi wa kura uliofanywa na CCM na serikali yake. Laana hii iwapte wote mnaoshabikia udhalimu wa CCM.Kwa taarifa yako mimi siyo Mchaga kwani kwa ujinga na upumbavu wenu mnaamini kuwa Chadema ni chama cha Wachaga. Damu za wote mlioua ili muendelee kubaki madarakani zitaendelea kuwatafuna ndiyo maana mumeshaanza kuropoka. ILAANIWE CCM NA WOTE WANAOIUNGA MKONO.
Kama siyo maandamano ,naunga mkono hoja.Maombi ni muhimu hasa tunapoelekea uchaguzi wa seeikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa Babel kuanguka na kuingia Umedi & Uajemi ( Iran ya sasa) wayahudi wengine walibakia baadhi ya nchi za mashariki ya kati kama watumwa na wakimbizi.
Sasa huko Uajemi (Iran ya sasa) kulikuwa na waziri mkuu mmoja anaitwa Hamani. Huyu alimshawishi mfalme Ahasuero kutaka wayahudi wote wanaokaa kama wakimbizi na watumwa katika nchi hiyo wauawe kwa sababu wawazishiki sheria za mfalme huyo. Baada ya mfalme kukubali ombi la waziri mkuu wake, wayahudi wote walioishi katika nchi hiyo walihuzunika sana.
Lakini palikuwa na mtu mmoja aliyeitwa Mordekai jasusi aliyeweza kumbadilisha mjomba wake aliyemlea jina kutoka Hadasa jina la kiyahudi na kumpa jina kiajemi la Esta ili tu asijulikane ni myahudi aolewe na mfalme Ahasuero. Huyu Mordekai aliposikia mbiu ya wayahudi wote wanatakiwa kuuawa alizirarua nguo zake na kuvaa magunia kisha kwenda kukaa kwenye malango ya ikulu. Lengo la jasusi huyu Mordekai lilikuwa kwamba wasaidizi wa Esta ambaye wakati huo alikuwa malkia wakimuona katika hali hiyo watamwambia Esta na Esta atakuja kumuona kwa dharura.
Ni kweli Esta alionana na mjomba yake huyo Mordekai na akaambiwa kwamba waziri mkuu Hamani ametangaza wayahudi wote kuuawa. Japokuwa Esta asingeuawa kwa sababu hakujulikana kuwa ni myahudi baada ya mjomba wake kumbadilisha jina na kuwa mke wa mfalme, lakini Esta alipiga ukunga na kulia kilio kikuu. Damu ni nzito kuliko maji. Baada ya hapo Esta alimwambia mjomba wake Mordekai akawaambie wayahudi wote wafanye maombi kwa ajili yake ili apate kibali cha kwenda kumuona mfalme mume wake kwa dharura na kumshawishi mfalme afute mpango huo. Esta alisisitiza maombi yawe ya kufunga wala wasile na kunywa kwa siku tatu.
Hatimaye baada ya maombi siku ya nne Esta alienda ofisini kwa mfalme bila kibali na kumlilia. Mfalme akafuta mpango huo akaamuru waziri mkuu Hamani anyongwe hadharani mbele ya Umma. Huo ulikuwa ushindi wa wayahudi wakiwa katika nchi ya ugenini.
Sisi Watanganyika hatupo ugenini kama wayahudi bali tupo katika nchi yetu ambayo Mungu alitupa japo tunaishi kama tupo ugenini. Mamia ya wenzetu wanaharakati na wasio wanaharakati, wanasiasa na wasiokuwa wanasiasa wanatekwa na kupotezwa na watawala. Sisi hatuna bunduki wala mabomu ya kujilinda kama wao , isipokuwa tunaye Mungu ambaye anaweza kutushindia .
Hivyo basi tunawaalika katika maombi ya kitaifa yatakayofanyika siku ya jumapili tarehe 8 September 2024. Tunawaalika wote wakiwemo viongozi wa dini katika maombi haya. Sisi hatutavaa magunia kama Mordekai isipokuwa tutavaa nguo nyeusi kuashiria nchi ina msiba. Nenda katika ibada msihi mchungaji wako, Padri ama Askofu kwamba tunaomba dakika 5 za kuwaombea waliotekwa na hatujui huko waliko wako katika hali gani. Tunawaomba viongozi wa dini muwape ushirikiano watu watakaofika katika nyumba za ibada kwa ajili ya maombi haya.
Hatutakula wala kunywa kuanzia saa 06:00 Asubuhi ya siku hiyo mpaka saa 18:00 jioni ya siku hiyo. Tutahitimisha maombi haya katika mtandao wa 𝗖𝗹𝘂𝗯𝗵𝗼𝘂𝘀𝗲 katika room ya 𝗦𝗮𝘂𝘁𝗶 𝘆𝗮 𝗪𝗮𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 kuanzia saa 18:00 jioni.
Soma Pia: Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”
Mungu hashindwi.
Amen.🙏🙏
Sambaza ujumbe huu kwa watu wote wakiwemo viongozi wa dini.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
hapo umeomba vibaya.MORDEKAI NA ESTA HAWAKUOMBA HIVYOTuwaombee wenye mamlaka wasiochukua hatua dhidi ya utekaji ili watangulie mbele za haki
Sogea SGR hapoSiti ya dirishani.
Location : Mazimbu Road
Mtu aliyebarikiwa hawezi kuwa chawa. CCM wote ni majitu yanayotembea na laana.Laana itakurudia mwenyewe....
Nimeamka na baraka na tunaendelea kuwa nazo kwa sababu tunaliheshimu taifa na viongozi wake....
Eeee Mwenyezi Mungu endelea KUIBARIKI CCM ,aaamin aaaamin aaaamin[emoji7]
Ni hatari sana lo hali hio inahatarisha maisha ya watu kiukweli
Umeuliza nini?Jina hutoa sasa nani kakuakikishia kuwa wewe ndiyo upo sahihi zaidi ya Mdude? Vp utafanya maombi ukiwa wapi mzee wangu make uwezi juwa siku moja akatekwa mjukuu wako.
Nimeandika pale labda inawezekana kujua mawazo ya mtu katika trance.Jina hutoa sasa nani kakuakikishia kuwa wewe ndiyo upo sahihi zaidi ya Mdude? Vp utafanya maombi ukiwa wapi mzee wangu make uwezi juwa siku moja akatekwa mjukuu wako.
chawa wa kimkaz tutolee ujinga hapa.Unapoilani CCM ambacho ni chama tawala kinachoongoza serikali ambayo inasimamia mambo yenu ya kila siku....basi UMEJILANI MWENYEWE kwani mwenyezi Mungu anatutaka tuzitii MAMLAKA NA VIONGOZI WETU....
Laana itakuandama mwenyewe MEKU....
Usifurahi ,UMEJILAANI MWENYEWE.....
Tubu sana....
#Nchi Kwanza[emoji7]
kikubwa imekuingia jiandae kufungaMdude Nyagali hajui Biblia.
Nebukanezer anamwita "Nebukadreza."
kikubwa imekuingia jiandae kufunga
Chadema chadema, haya mambo hayatokei hivi hivi, Yana sababu, katika ulumwengu wa kiroho,Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa Babel kuanguka na kuingia Umedi & Uajemi ( Iran ya sasa) wayahudi wengine walibakia baadhi ya nchi za mashariki ya kati kama watumwa na wakimbizi.
Sasa huko Uajemi (Iran ya sasa) kulikuwa na waziri mkuu mmoja anaitwa Hamani. Huyu alimshawishi mfalme Ahasuero kutaka wayahudi wote wanaokaa kama wakimbizi na watumwa katika nchi hiyo wauawe kwa sababu wawazishiki sheria za mfalme huyo. Baada ya mfalme kukubali ombi la waziri mkuu wake, wayahudi wote walioishi katika nchi hiyo walihuzunika sana.
Lakini palikuwa na mtu mmoja aliyeitwa Mordekai jasusi aliyeweza kumbadilisha mjomba wake aliyemlea jina kutoka Hadasa jina la kiyahudi na kumpa jina kiajemi la Esta ili tu asijulikane ni myahudi aolewe na mfalme Ahasuero. Huyu Mordekai aliposikia mbiu ya wayahudi wote wanatakiwa kuuawa alizirarua nguo zake na kuvaa magunia kisha kwenda kukaa kwenye malango ya ikulu. Lengo la jasusi huyu Mordekai lilikuwa kwamba wasaidizi wa Esta ambaye wakati huo alikuwa malkia wakimuona katika hali hiyo watamwambia Esta na Esta atakuja kumuona kwa dharura.
Ni kweli Esta alionana na mjomba yake huyo Mordekai na akaambiwa kwamba waziri mkuu Hamani ametangaza wayahudi wote kuuawa. Japokuwa Esta asingeuawa kwa sababu hakujulikana kuwa ni myahudi baada ya mjomba wake kumbadilisha jina na kuwa mke wa mfalme, lakini Esta alipiga ukunga na kulia kilio kikuu. Damu ni nzito kuliko maji. Baada ya hapo Esta alimwambia mjomba wake Mordekai akawaambie wayahudi wote wafanye maombi kwa ajili yake ili apate kibali cha kwenda kumuona mfalme mume wake kwa dharura na kumshawishi mfalme afute mpango huo. Esta alisisitiza maombi yawe ya kufunga wala wasile na kunywa kwa siku tatu.
Hatimaye baada ya maombi siku ya nne Esta alienda ofisini kwa mfalme bila kibali na kumlilia. Mfalme akafuta mpango huo akaamuru waziri mkuu Hamani anyongwe hadharani mbele ya Umma. Huo ulikuwa ushindi wa wayahudi wakiwa katika nchi ya ugenini.
Sisi Watanganyika hatupo ugenini kama wayahudi bali tupo katika nchi yetu ambayo Mungu alitupa japo tunaishi kama tupo ugenini. Mamia ya wenzetu wanaharakati na wasio wanaharakati, wanasiasa na wasiokuwa wanasiasa wanatekwa na kupotezwa na watawala. Sisi hatuna bunduki wala mabomu ya kujilinda kama wao , isipokuwa tunaye Mungu ambaye anaweza kutushindia .
Hivyo basi tunawaalika katika maombi ya kitaifa yatakayofanyika siku ya jumapili tarehe 8 September 2024. Tunawaalika wote wakiwemo viongozi wa dini katika maombi haya. Sisi hatutavaa magunia kama Mordekai isipokuwa tutavaa nguo nyeusi kuashiria nchi ina msiba. Nenda katika ibada msihi mchungaji wako, Padri ama Askofu kwamba tunaomba dakika 5 za kuwaombea waliotekwa na hatujui huko waliko wako katika hali gani. Tunawaomba viongozi wa dini muwape ushirikiano watu watakaofika katika nyumba za ibada kwa ajili ya maombi haya.
Hatutakula wala kunywa kuanzia saa 06:00 Asubuhi ya siku hiyo mpaka saa 18:00 jioni ya siku hiyo. Tutahitimisha maombi haya katika mtandao wa 𝗖𝗹𝘂𝗯𝗵𝗼𝘂𝘀𝗲 katika room ya 𝗦𝗮𝘂𝘁𝗶 𝘆𝗮 𝗪𝗮𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 kuanzia saa 18:00 jioni.
Soma Pia: Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”
Mungu hashindwi.
Amen.🙏🙏
Sambaza ujumbe huu kwa watu wote wakiwemo viongozi wa dini.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Mnawateka wenyewe halafu mnawambea. Mnambeep Mungu si ndiyoMnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa Babel kuanguka na kuingia Umedi & Uajemi ( Iran ya sasa) wayahudi wengine walibakia baadhi ya nchi za mashariki ya kati kama watumwa na wakimbizi.