Mzungu mmoja si kishakamatwa Na kuachiwa huru, Mwingine anatafutwaNyie ndo mnatuharibia upelelezi
Kwani Mo anaendesha duka kama la Mangi kusema akiumwa tu duka halifunguliwi?Korosho ya bongo ni first class dunian,hata hao wahindi wananunua bongo then wana process wanauza nje,pia wa vietnam,wamarekan na wazungu wengne korosho wanainunua hapa bongo.
Minada inaanza octoba hii,na Mo ndo rivals wa hao wafanya biashara wote,yaan hawamuwez kwenye eneo hilo,yaan yeye ndo kaliteka soko,
Sasa what if wamemteka wahujumu hyo biashara,na wafanya biashara wengne wapate kununua wao
Nmewaza tu
Think.Kama walimfunga Manji na ndo alikuwa mnunuzi mkubwa wa mbaazi!
Toka Manji awe lock up mbaazi zikawadodea wakulima mpaka leo!
Hao watekaji walomteka Mo wala hawana issue juu ya korosho wana yao tu.
This is the clue.Korosho ya bongo ni first class dunian,hata hao wahindi wananunua bongo then wana process wanauza nje,pia wa vietnam,wamarekan na wazungu wengne korosho wanainunua hapa bongo.