80% ya korosho Tz ananunua Mo na msimu wa mnada ndo huu unaanza. Sio kwamba ni hujuma imefanyika

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Korosho ya bongo ni first class dunian,hata hao wahindi wananunua bongo then wana process wanauza nje,pia wa vietnam,wamarekan na wazungu wengne korosho wanainunua hapa bongo.

Minada inaanza octoba hii,na Mo ndo rivals wa hao wafanya biashara wote,yaan hawamuwez kwenye eneo hilo,yaan yeye ndo kaliteka soko,

Sasa what if wamemteka wahujumu hyo biashara,na wafanya biashara wengne wapate kununua wao

Nmewaza tu
 
Kila kitu kinawezekana
Lakini Mo ni mmoja wa kampuni yao kwa hiyo kazi haiwezi kulala kwa kuwa haonekani

Wataendelea kununua tu labda waambiwe kuwa nyuma ya utekaji wake ni sababu ya zao hilo
 
Mkataba wa kibiashara wa Simba Na mwekezaji haukuwa Baina ya Simba Na METL ulikuwa Baina ya Simba Na Mohamed Dewji

Kwa sababu hiyo tusishangae Haji Manara kupapatika Kama Bisi kwenye kikaangio

Upande wa Zao la Korosho nawashauri wamakonde wale Sana korosho zao Kwa Kuwa zina Mafuta salama yasiyo Na cholestral Na yanaongeza nguvu Za Kiume Na Za kike
 
Nadhani ndo maana ikawepo kampuni, CEO asipokuwepo haimaanishi kampuni inakufa so nategemea kila kitu kitaendelea kuwa sawa
 
Korosho ya bongo ni first class dunian,hata hao wahindi wananunua bongo then wana process wanauza nje,pia wa vietnam,wamarekan na wazungu wengne korosho wanainunua hapa bongo.

Minada inaanza octoba hii,na Mo ndo rivals wa hao wafanya biashara wote,yaan hawamuwez kwenye eneo hilo,yaan yeye ndo kaliteka soko,

Sasa what if wamemteka wahujumu hyo biashara,na wafanya biashara wengne wapate kununua wao

Nmewaza tu
Kwani Mo anaendesha duka kama la Mangi kusema akiumwa tu duka halifunguliwi?
 
Kumbe hamjui kampun za kibongo znavyo operate,ngoja niishie hapa,...
Kuna baadh ya ofis zake had leo zmefungwa,na wengne wanafanya kaz nusu siku
 
Korosho ya bongo ni first class dunian,hata hao wahindi wananunua bongo then wana process wanauza nje,pia wa vietnam,wamarekan na wazungu wengne korosho wanainunua hapa bongo.

Minada inaanza octoba hii,na Mo ndo rivals wa hao wafanya biashara wote,yaan hawamuwez kwenye eneo hilo,yaan yeye ndo kaliteka soko,

Sasa what if wamemteka wahujumu hyo biashara,na wafanya biashara wengne wapate kununua wao

Nmewaza tu
This is the clue.
 
Kumteka Mo kunazuia vipi kampuni za MetL kununua korosho! hili ni swali ulilopaswa kujiuliza kabla ya...

Kwani Mo alikuwa anaenda Mtwara kuzipakia kwenye magari!

Lazima ufahamu upo utofauti kati ya Kampuni na mtu/mmiliki/mtumishi wa Kampuni.

Kampuni ya Metl itaendelea kufanya biashara kama kawaida maana mtaji upo, soko lipo na nyenzo nyingine zipo
 
Back
Top Bottom