80% ya Wadada wa kibongo wanategemea mabuzi

Sio kwa maisha haya, hakuna watu wanaojituma kama wanawake!..
Una date na mwanafunzi halafu hutaki akuombe hela mpe mtaji!
 
Kazi gani eti!
Mbona huwa mnajihisi mna hela saaaanaaaaa!

Ina maana hatuna kazi au?!
hapana Kigori wangu nimesema kazi ipo kutokana na leo nyuzi nyingi zinafurumuka kuwahusu nyie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Handsome, hebu waambie watupumzishee jamanii, ndo kwaaanzaa nataka nilale usiku niko lindo!!
 
Lakini kigori wangu waambie wenzio waige mfano wako kujituma.

Wengine wamezidi kwa kweli unakuta mtu hata kama ana kazi lakini bado anapenda mno apewe pewe. (Ingawa ni wajibu wetu kuwahudumia)

Handsome! Kitu ambacho hamkijui ni kwamba kuna wanawake na wanawake wenye maisha ya kisichana!!

Ukikutana na mwanamke ambaye ako na kazi na anaomba jua anakili za kisichana!

Ila pia sio akishafanya kazi akikwama asiseme, kweli kukwama kupo hata nyie wanaume mnakwama sana tuu jamani!

Najua kuomba hela kila mara inakera lakini jitahidini kuongea na mabebez wenu na muwape support wanapokwama! Binafsi nikikwama kabisa ndo naomba sababu najua hata wewe handsome ukikwama utaniomba pia!
 
Na hasa hiyo ndio maana ya kuwa na mupenziii.

Nina msemo nasemaga mapenzi ni zaidi ya tendo lenyewe. Mapenzi ya dhati ni kufaana. Si kipesa tu hata kimawazo.

Inafika hatua mtu hata ukiona call yake unaanza kujipanga kaja na lipi[emoji3][emoji3].

Hao wanaowaza mapenzi ni tendo pekee ndo wanaokwama sasa!

Lazima pawepo na mipango, misimamo, mawazo na malengo thabiti!

Kila mtu ana mawazo tofauti, tukiyachanganya lazima tufanye jambo la maana handsome
 
Mbona tinder tunakubaliana bei tu unakula mzigo.....sasa unachunikaje hapo?
 
Hao wanaowaza mapenzi ni tendo pekee ndo wanaokwama sasa!

Lazima pawepo na mipango, misimamo, mawazo na malengo thabiti!

Kila mtu ana mawazo tofauti, tukiyachanganya lazima tufanye jambo la maana handsome
Chukua hii zawadi unayoipendaga [emoji519][emoji519][emoji519][emoji520][emoji520]
 
Ewaaaaa...
Huwa napenda sana green apples! Nabaki na haya mawili yanitosha! Asante mno handsome na ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom