80% ya wanawake huangaliwa kwa nyuma na wanaume wanapopita hasa makalio

80% ya wanawake huangaliwa kwa nyuma na wanaume wanapopita hasa makalio

Hi out there, salam salamWote tunajua, ila natia msisitizo na kukumbushana, hata (m)wanawake wanajua sana tu, wanapotembea au kupishana na wanaume au awapite (m)wanaume, huangaliwa kwa nyuma zaidiii, hasa makalio, na utaona demu mnapishana atajua tu anaangaliwa kwa nyuma, sasa awe na wowowo, ni balaa, macho yote = nyuma yake, kama mzoefu kwa mambo ya wakubwa avae transparent hivi, hata ukiwa na demu wako utajidai kamba ya viatu imelegea uiname umcheki kwa nyuma, kumbe uzuri mwingi wa mwanamke utaujua ukimcheki kwa nyuma basi, hasa makalio, je yupo flexible, rigid, makalio na kiuno huzungumza mengi sana kuhusu mwanamke,nimesikia wengine wanaweka ya bandia, ila akiwa na mtikisiko usiseme, karibuni
Dah, nyuma kunahusika sana! Hapo ndipo tofaut ya mwanamke na mwanaume inapoonekana! Halafu wanawake wanapenda sana kutizamwa ndio maana akishapita kikundi cha wanaume huwa mwendo unabadilika kabisa!
 
Ili ufanye majumuisho, area yako ya research lazima iwe wide..............
 
asante kwa taarifa....skuizi ntakuwa natembea na ungo..nikiona nataka kupishana na wanaume basi najifunika na ungo pale nyuma...
sasa hujui kAma utakua unatunyima kuona uumbaji wa MUNGU?acha hizo bhana
 
Sijui ni kwa vile the nicest Entertainment area imewekwa karibu the most sewege discharging area?
Possibly yes, sijui kwanini vitu vizuri huwa vimejificha sana, nature bwana, achia mbali uchi, look at madini, etc
 
Makalioo.... nakumbuka thread moja iliyosema wanawake wa dar wanatembea huku wakitingisha makalio......
 
HTML:
Hi out there, salam salamWote tunajua, ila natia msisitizo na kukumbushana, hata (m)wanawake wanajua sana tu, wanapotembea au kupishana na wanaume au awapite (m)wanaume, huangaliwa kwa nyuma zaidiii, hasa makalio, na utaona demu mnapishana atajua tu anaangaliwa kwa nyuma, sasa awe na wowowo, ni balaa, macho yote = nyuma yake, kama mzoefu kwa mambo ya wakubwa avae transparent hivi, hata ukiwa na demu wako utajidai kamba ya viatu imelegea uiname umcheki kwa nyuma, kumbe uzuri mwingi wa mwanamke utaujua ukimcheki kwa nyuma basi, hasa makalio, je yupo flexible, rigid, makalio na kiuno huzungumza mengi sana kuhusu mwanamke,nimesikia wengine wanaweka ya bandia, ila akiwa na mtikisiko usiseme, karibuni

Si kwamba wanaume huwaangalia wanawake nyuma peke yake, kumbuka kwamba ametokea mbele yako kwa hiyo lazima utakuwa umeona nywele zake, uso wake, kifua chake na tumbo lake, kwa hiyo ili ukamilishe uangalizi wako, ni lazima ugeuke nyuma ili uone kalio lake na miguu yake, lakini kikubwa ni jinsi gani anatumia maumbile yake.
Katika mwili wa mwanamke ni kiungo kimoja tu huwezi kukiona kwa urahisi ili kukamilisha research.
 
mi nawaambiaga kila siku ...watu wanapenda kuji express kweli hapa bongo....
 
mi nawaambiaga kila siku ...watu wanapenda kuji express kweli hapa bongo....
Umeona eeehh...!!! ila indirectly, ukimwambia mtu ana makalio mazuriii yanavutiaaa, demu atakuambia asante, ila ukisema do u express ur self, utaangaliwa na macho tofauti ya hasira.
 
Ni kweli. Mwanamke ni kalio bwana. Uongezee na mguu. Sura majaliwa
 
Kama ulitumia uzoefu labda,lakini kama ni utafiti naona haukujitosheleza.
 
Ni kweli. Mwanamke ni kalio bwana. Uongezee na mguu. Sura majaliwa
Kweli sura ya uso naipa third place, first makalio mazuri, then miguu, then sura, kama vile upo on my mind Raia Fulani
 
Sasa sisi namba moja, tunaangaliwa nini jamani. Dah ngoja nizidishe kipimo cha dona. Sijui itasaidia...
 
Back
Top Bottom