80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Mimi kama mwanaume rijali plus plus, napenda sana sana wanawake ninayevutiwa nao waniombe hela na huduma zinginezo, napenda sana.

Kama mwanamke mrembo anayenivutia hajaniomba chochote nitajisikia vibaya na mimi nawahi kumpa ahadi nisikie response yake, kama atafurahia basi natoa haraka atakacho kwa kiasi fulani, alafu naingia katikati ya miguu yake, nikiona ana asali tamu, sitoki ng'oo, ila akiwa hana nilichofikiria kwa nje, nakimbia hataniona..!! Ndivyo tulivyo wanaume..!!
 
Nimechelewa kuuona huu uzi.
Ila we jamaa mleta Uzi umenichekesha sana na dhambi yako ya kusem

'' Wanafanya exchange ya viungo vya uzazi na pesa '' [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndicho wanachofanya mkuu
 
Kama unajua hauna chochote Cha kuingiza kipato kwanini usiombe akufungulie mtaji kuliko kuwa omba omba je siku huyo mtu wako akawa hana hela si ndio utajikuta unazama Kwenye udangaji hakuna kitu kibaya kama kumtegemea mtu
Mkuu hawa watu ni kukaa nao kwa akili na machale
 
Hili ni tangazo
 
Acha ujinga wewe...

Hata wewe ungekuwa mwanamke ukikwama ungeuza mbususu.

Yaani unatembea na kitegauchumi mwilini mwako halafu uishi kwa shida kisa nini... Biblia?!
 
Sema 80 ya wanawake ni wauza uchi. Wacha kuzunguka nyoooka.
 
Hakika, haya ndio yalikuw maisha ya wazee wetu, mama zetu pamoja na kuwa walikuwa "mama wa nyumbani" lakini mchango wao katika familia ukikuwa mkubwa mno mno.
Na mama hata siku ambayo baba anakosa mishe huwezi kuta analalamika na anaweza endesha gurudumu la familia hadi mzee asimmame upya.

Sikuhizi baba akipoteza kazi ndio mwisho wa ndoa.
 
Wanawake tu, mpaka wanaume ombaomba tu Tena wengi, kuulizauliza unafanyia Kaz wapi, alafu anakuomba Ela, Kuna siku mwanaume kanifata mpaka benk nikamtoa ndio kaondoka, tunafaamiana Ila.
Huyo jamaa ana guts, unafata mwanamke umuombe hela kweli hadi kwa bank? 🤣
 
Na huo ndio ukweli.... huwa nafarijika nikiona Mwanamke anaridhika na vile ninamjali.... Mwanamke ameumbwa anahitaji SECURITY ikiwemo security ya uhakika wa mahitaji yake.... huwa naamini nikimtizimia na akiwa na amani... ht mm nakuwa na AMANI
Akishakuwa na Amani kwa muda mrefu anatafuta mabalaa sasa ndio utashangaa anagongwa na Co-workers huko sababu anataka changamoto mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…