DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ha ha ha....[emoji1787]Shida ni kwamba nyege zina impair ability to think straight, na hapo ndipo tuna pigwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha....[emoji1787]Shida ni kwamba nyege zina impair ability to think straight, na hapo ndipo tuna pigwa
Hii ni kweli kabisaPrivate parts siyo tradable commodities. Hii inatakiwa iingie kwenye vichwa vya dada zetu wa kitanzania
Na nyie muwawowe wanaume ili wawabomu!kwa hiyo
Bora wee umejitambua mapemaa!!!Hawa watu hakuna kitu tutaweza kuwabadilisha, tukubali tuu hakuna K ya bure...
Nimeshajiandaa kisaikolojia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Na hao wanawake wanao shinda Mahakamani na issue ya Pasu kwa pasu wapo Tz tu
Shida ni umelelewa kwamba tabia nzuri au njia sahihi ni utafute mwanamke uoe.Sina shida na watoa huduma,its willing buyer and seller relationship, shida iko kwa wale ambao wanatutengeneza, yaani unalipia private parts indirectly and unwillingly
mh huyu ni mimi kweli 😅😅😅😅😅😅😅😅Lol ur funny my dear
wanawake unaowaita wa vijijini most ndo wanazibeba familia most ndo huficha kutowajibika kwa bab zetu hawa wapumzishe wapo shamba kwanza 🙏🏽
The kind of love that is truly romantic is that love which is developed during the course of a life together with someone whom you have worked hard with toward the lasting life …..
Also a succesful relationship is a status that two people worked hard at building together na sio kulalana tu so naona weww na mtoa mada ni wale mnao date for funny if so hii mada ni meaningless!!
Jaribu kudate na mademu wa kenya wanaomba kama matonyaWasalaam wana JF
Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.
Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.
Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect kwenye mahusiano na mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.
Kimsingi, siyo rahisi kuwa na meaningful relationship hapa Tanzania. Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Wanawake wengi wanachukulia mahusiano kama chanzo cha mapato au relief from their financial responsibilities na mbaya zaidi kama wameshnda bingo (bahati nasibu). MBONA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ANAJIPAMBANIA NA SASA NI RAISI NA TUNAMUHESHIMU
Pengine, sisi kwa sisi, kibongo bongo tunaweza kuhimiliana, je wenzentu wa maitaifa mengine wataweza? Sasa bssi, ni aibu gani hawa dada zetu wanalipa hili taifa kwa wageni kutoka nje ya nchi? watawachukulia kama Gold digģers.
Tunaomba serikali iwe na mkakati wa makusudi, pengine kuanzia shule za msingi kuwapa ujasiri wanawake. Ujasiri wa kujitegemea, kuwafundisha kuona aibu kuomba na kuwa wategemezi. Kuwa mwanamke siyo kuwa handicapped na siyo justification au leseni ya kuwa omba omba. Tusiruhusu kuwa na taifa lililojaa wanawake wadangaji na omba omba.
katika muktadha huu, kama nchi za wenzetu wameweza sisi kwanini tushindwe? Nchi za wenzetu katika mabara ya ulaya na america wanawake omba omba wapo kwa idadi ndogo sana.
Ikumbukwe, hakuna omba omba anaye heshimika, hizo ndizo harsh realitiies of capitalism.
Mwenye akili na aelewe.
Key issues:
1. Pussy/papuchi is not a tradable item;
2. Relationship is not an employment or source of income:
3. No body is responsible for your adult life save your parents: and
4. When you start exchanging love and private parts in return for money, you are no longer a lady, but a business woman commonly refered to as prostitute
REJEA:
Mithali 31:10-31
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu. Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi. Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake.
Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa. Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
Siyo kutunyoosha, wakenya wanasema wanatunyorosha!wanatunyoosha sana, ila waelewa bado wapo, ndiyo hiyo 20% iliyobaki