wanafunzi wengi wakifeli kiasi hiki ujue either hawaelewi,au walimu hawajui kufundisha
I am teacher- though not at SAUT- but all the same, kwa wanafunzi wa kizazi hiki chuo kikitoa pass rate ya 80% sitahitaji ushahidi mwingine kuamini kuwa chuo hicho ni aina ya kina cbe, ifm, tia n.k! Tatizo si la chuo bali unapaswa ku-appreciate umakini wa chuo.
Atakae na anitusi lakini ukweli ndio huo!
Mkuu unamaanisha nini?can you please explain more to make it clear!
Kutoku-graduate ni ku-maintain quality kivipi!!!!!!!? Inawezekana wamefeli kwa sababu hawakuelewa waliyokuwa wanafundishwa kutokana na wakufunzi wabovu . Je hapo napo wanamaintain quality!!!!?Bravo for maintaining quality
Duh!hii kali ya mwaka,nashukuru sana mkuu wa kunihabarisha.Sasa hao madalali wanapatikana wapi?huu mtandao ni hatari sana na inabidi uvunjwe ili kuwanusuru hawa dada zetu!Nashukuru kwa swali lako zuri muheshimiwa.
SAUT kuna madalali wa kuuza wanafunzi. Hao ukiwapigia wanakuambia unataka wa shs ngapi, wanakuletea wa 50,000, wa 20,000 yaani ni wewe tu.
Pili watoto wa kike wa hapo wanapenda starehe sana. Ukimchukua mmoja basi atakuja na furushi la wenzake. Watakamua bia hapoooooo wanalewa chakari kupoteza aibu then wanaanza kusaka mabuzi ya kulala nayo (nazungumzia hilo furushi litakalokuja na mtu wako).
Kinachowaharibia hawa watoto ni kujikweza. Naomba uweke majina yao waliofeli, na kama mademu si zaidi ya 50% ya waliofeli, na-resign JF.
Note: Nikiwa kama mwanamume hapa nazungumzia mademu tu. Kama kuna demu atiririke kuhusu mamen na kama hutaki acha.
Duh!hii kali ya mwaka,nashukuru sana mkuu wa kunihabarisha.Sasa hao madalali wanapatikana wapi?huu mtandao ni hatari sana na inabidi uvunjwe ili kuwanusuru hawa dada zetu!
Nimekusoma mkuu!Dereva tax ni moja ya madalali.....
Walipokea vilaza wakaramba mshiko wao(ada) wakawapika bila kujali kuwa wanahitaji moto mwingi, wamefubaa ndio mnashtuka.
Hongera SAUT kwa kubweteka na heshima ya mavazi ya wanafunzi huku mibongo yao mkiiacha izidi kuoza!
Jamani, tertiary education si kwa kila mtu..wengine hamuezi!..ndo mana kuna certificates, diploma etc..
That means 28.39% of the students that were expected to graduate would not graduate,this is amazing and there must be some thing wrong with university!
Nimefurahi sana kupata comment zako wewe kama mwalimu!Kwa hiyo chuo kinachotoa wanafunzi wachache kati ya wale wengi waliodahiliwa ndio chuo bora?vipi kile chuo kilichodahili wanafunzi wenye kiwango kidogo cha alama za ufaulu kipimo hicho kinaweza kuwa sahihi?Vipi uoni kuwa uzembe wa management ya chuo unaweza kufichwa na hicho kipimo?
Hawa SAUT hawaishiwi vituko kuna mwaka fulani hivi walizuia matokeo ya wanafunzi wao kisa walifoji. Sijui ilikuwa 2006 ile!