800 SAUT finalists fail to graduate this year

Hiki chuo tangu kikiitwa Nyegezi kilikuwa kinatoa wanafunzi bora kabisa na wala haishangazi kwa uamuzi wa kuhakikisha ni vichwa tu ndivyo vinatunukiwa shahada.

Watu wanaokimbilia kusoma Journalism na Mass Communication wanasahau kwamba hili eneo kusota kwake ni sawa tu na mtu anaesotea shahada zingine.

Kikubwa ni kwamba lugha ya kiingereza katika kuandika coursework inasumbua sana na hasa kwenye "grammar" au "analytical skills and thinking", hivyo wale wanafunzi jina wanaishia kukata tamaa kwa kuona kwamba yale waliyoyategemea kwamba labda ni mepesi hali si hivyo kabisa.

Nikitoa mfano wa mwanafunzi kuwa na analytical skills ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuandika taarifa kwa mtiririko unaoeleweka au "trends", kushindwa kutatua tatizo au "problem solving" hata mtu akipewa "scenario" ndogo tu.

Wanafunzi wanaweza kupewa assignment au coursework inayohusu hali ya sasa ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania na waelezee kwa kiingereza kwa kufuata viainisho nilivyotaja hapo juu na wakashindwa labda waelezee maeneo ya uwezo au "effectiveness" wa chama au malengo yaliyowekwa au strategies kushinda uchaguzi na wakashindwa kabisa pa kuanzia.

Tunahitaji wanafunzi wawe na uwezo wa kuchambua mambo bila kubabaika.
 
Nakubaliana na wewe,mimi nimesoma UDSM,swala la discontinuation ni vitu vya kawaida.Lakini asilimia 28% ni kubwa mkuu ukubali au ukatae huu utabaki kuwa ukweli.Nilisema chuo kinaweza kuwa na matatizo kama ifuatavyo:
*Kilidahili wanafunzi wasikuwa na sifa ndiyo maana wameshindwa kumudu masomo.
*Chuo kinaweza kuwa hakina walimu wa kutosha
*Chuo kinaweza kuwa na walimu ambao hawana ubora unaotakiwa
*Chuo kinaweza kuwa na utaratibu mbovu unaosababisha baadhi ya wanafunzi kufeli

To me acceptable failure rate is 10%,above this level it is questionable!
 
Hicho chuo ni changanyiken, tunashukuru tcu kufuta pre entry course maana hata wasio na vigezo vya kusoma degree walikuwa wanapitia hiyo, afu wanachukua watu wengi bila kufikiria mahitaji ya jamii kama malazi hawana kabisa, SAUT BADILIKEN BANA
 

Mkuu,sababy ya kwanza (blue) nakubaliana nayo 100%.
Sababu zilizobakia (red) sikubaliani nazo.
Kumbuka 28% inajumuisha na wanafunzi ambao hawakuweza ku-graduate kwa sababu hawajamaliza kulipa ada!
Pia wanafunzi wengi wa siku hizi hawajitumi kabisa, usharo na usista du mwingi, wanategemea kutafuniwa kila kitu.., hebu fikiria mwanafunzi ambae anashindwa hata ku-submit dissertation yake huyo utamweka ktk kundi gani??

Pia kumbuka kuwa mitaala ya hiki chuo imehakikiwa na kupitishwa na TCU.
 

Kama 28% inajumuisha na wale walioshindwa kulipa ada,hapo sina shaka tena.However,mitahara kuhakikiwa na TCU is not a big deal,mara ngapi katika maisha yako umeshawahi kutumia bidhaa ambazo zina nembo ya TBS lakini hazina ubora unaotakiwa?Nazani utakubaliana na mimi kuwa hata CBE pia mitahala yake imehakikiwa na TCU.
 
Kumbukeni pia kwa SAUT, minimum pass (karai) ni marks 50-59% na si 40-49% kama UDSM na vyuo vingine vingi hapa Tanzania.

Kama minimum pass ingekuwa kama ya hivyo vyuo vingine, % ya failure bila shaka ingepungua zaidi.
 
Kumbukeni pia kwa SAUT, minimum pass (karai) ni marks 50-59% na si 40-49% kama UDSM na vyuo vingine vingi hapa Tanzania.

Kama minimum pass ingekuwa kama ya hivyo vyuo vingine, % ya failure bila shaka ingepungua zaidi.

Si kwel mkuu mziki wa udsm usiulinganishe hata kidogo na saut, kuna ndugu yangu yupo hapo saut alipata 3ya mwshn sasa unafkr kama wanachukua wa2 ambao hawana kwalifkeshn inakuaje? Tcu inavpendlea vyuo vya serikal kwa kuwapa pure studnts but hvyo private vinapata impure. So its difct 2compare udsm vs saut interm of akademc matters
 
Mkuu unalinganishaje udsm vs saut? Hv umesahau kuwa tcu inavpendelea vyuo vya serkali kwa kuwapa pure stdents and nt impure stdnts like saut thats y unaona failures n wengi. Hebu fkr saut kuna wa2 wana3ya 15wanasoma edctn unafkir hau wakikaa vby watashndwa kufel?
 
Kutoku-graduate ni ku-maintain quality kivipi!!!!!!!? Inawezekana wamefeli kwa sababu hawakuelewa waliyokuwa wanafundishwa kutokana na wakufunzi wabovu . Je hapo napo wanamaintain quality!!!!?
emu rudia, WAKUFUNZI WABOVU??? ?
 

Hapa kuna utata, ina maana wanafunzi hawaelewi au waalim hawaeleweki? Maana siku hizi mimi nina wasiwasi hata na hao ma lectuerers, they do not have such required field experience so all they teach is theory! Je hao ma lecturers do they have any work experience?
 

1: I am only stating the conclusion from my observation - over a period of time. Siku hizi sihangaiki kuficha maswali ya mitihani niliyotunga, maana kizazi hiki haitoshi kuwapa maswali peke yake. Siku hizi ili mtu useme paper yako ime-leak ni lazima waibe na majibu ya maswali pia. Otherwise, wanayaona maswali na wanafeli vile vile, so how do you expect to attain 80% pass rate?
2: Hivyo vyuo nilivyovitaja it is an open secret kuwa waalimu wao karibu wote huuza mitihani.

3: Tatizo ni wanafunzi, and I repeat ni WANAFUNZI si la chuo. Ukiwa mfuatiliaji utakuwa umeona kwenye magazeti chuo kimenyimwa kufanya graduation ya PhD kwa kuwa capacity yao ya kuwa na idadi ya graduands kwenye level hiyo ilitia shaka.
 

Sijasema - na wala sitasema - kuwa kipimo cha chuo bora ni kutoa wahitimu au kudahili wanafunzi wachache. But imagine this scenario:
  • Chuo kina uwezo wa kudahili wanafunzi 100 lakini kichukua 1000
  • Hakuna proper examination management
What do you think will be the quality of the product from such a college/university etc, etc, etc?
 


are you trying to underestimate cbe and other colleges of the same type??
 
Precisely,I am very open,this is my sentiment!


WELL,,
BT T.C.U IS SMARTER THAN YOU,,YOUR UNDERESTIMATION IS A MINOR FACTOR,,

"SENTIMENT'">>> YOUR INTENTION WAS "STATEMENT" OR?

:confused2:
 
Hon John Pombe Magufuli leo hii ni mgeni rasmi wa mahafali ya 14 Saut!
 
Walipokea vilaza wakaramba mshiko wao(ada) wakawapika bila kujali kuwa wanahitaji moto mwingi, wamefubaa ndio mnashtuka.
Hongera SAUT kwa kubweteka na heshima ya mavazi ya wanafunzi huku mibongo yao mkiiacha izidi kuoza!
ungekuwa unasoma SAUT ndugu labda ungeelewa jinsi gani wapo strict kuanzia administration hadi kwa wanafunzi wao, fanya research kabla ya kupost...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…