Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Hiki chuo tangu kikiitwa Nyegezi kilikuwa kinatoa wanafunzi bora kabisa na wala haishangazi kwa uamuzi wa kuhakikisha ni vichwa tu ndivyo vinatunukiwa shahada.
Watu wanaokimbilia kusoma Journalism na Mass Communication wanasahau kwamba hili eneo kusota kwake ni sawa tu na mtu anaesotea shahada zingine.
Kikubwa ni kwamba lugha ya kiingereza katika kuandika coursework inasumbua sana na hasa kwenye "grammar" au "analytical skills and thinking", hivyo wale wanafunzi jina wanaishia kukata tamaa kwa kuona kwamba yale waliyoyategemea kwamba labda ni mepesi hali si hivyo kabisa.
Nikitoa mfano wa mwanafunzi kuwa na analytical skills ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuandika taarifa kwa mtiririko unaoeleweka au "trends", kushindwa kutatua tatizo au "problem solving" hata mtu akipewa "scenario" ndogo tu.
Wanafunzi wanaweza kupewa assignment au coursework inayohusu hali ya sasa ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania na waelezee kwa kiingereza kwa kufuata viainisho nilivyotaja hapo juu na wakashindwa labda waelezee maeneo ya uwezo au "effectiveness" wa chama au malengo yaliyowekwa au strategies kushinda uchaguzi na wakashindwa kabisa pa kuanzia.
Tunahitaji wanafunzi wawe na uwezo wa kuchambua mambo bila kubabaika.