800 SAUT finalists fail to graduate this year

that is extremely wise of you...jaribu kuwaelewesha hao wanaotaka maisha ya shortcut bila kusumbua ubongo....
 
hii ndio grading system ya SAUT, ukisoma utaelewa jinsi wanapromote quality education na high standards za elimu chuoni..

GRADING SYSTEM

100-80 A 5 Distinction
79-70 B+ 4 High Credit
69-60 B 3 Credit
59-50 C 2 Pass
49-35 D 1 Fail
34-0 E 0 Bad Fail

G.P.A

5.0- 4.5 First Class A
4.4- 3.5 Upper Second Class B+
3.4- 2.6 Lower Second Class B
2.5- 2.0 Pass (Third Class) C
 
Wanachuo wengi siku hizi hawataki kusoma, hawajibidishi katika mambo ya kitaaluma badala yake wapo busy na mambo ya starehe, muda wote wanacheza na simu, walimu wanafundisha wao wanachati kwenye net kupitia simu zao. Wadada wengi nao ni kujiuza ili kusaka pesa za kutesea, wanataka kuishi maisha ya juu zaid ya uwezo wao halisi, matokeo yake ndom hayo wanaelekeza nguvu nyingi kutafuta pesa tena kwa njia haramu badala ya kusoma, mwisho wa siku wanafeli!
 
UDSM supplimentary ilikuwa balaaa, BLOCK E Mabibo ilishona mtu sita hadi nane kwa kila room ukiacha wale waliotokea kitaa. Hii ni ishara ya wanachuo wa sasa. Ukienda SUA disco zinakatisha tamaa, sembuse SAUT ambako wanapokea wanafunzi wa kila aina? Kuna vyuo vingine wanapitisha tu, aheeri hao wamechukua step?
 

ud kuna mziki ni what sense?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…