800 SAUT finalists fail to graduate this year

800 SAUT finalists fail to graduate this year

I am teacher- though not at SAUT- but all the same, kwa wanafunzi wa kizazi hiki chuo kikitoa pass rate ya 80% sitahitaji ushahidi mwingine kuamini kuwa chuo hicho ni aina ya kina cbe, ifm, tia n.k! Tatizo si la chuo bali unapaswa ku-appreciate umakini wa chuo.
Atakae na anitusi lakini ukweli ndio huo!
that is extremely wise of you...jaribu kuwaelewesha hao wanaotaka maisha ya shortcut bila kusumbua ubongo....
 
hii ndio grading system ya SAUT, ukisoma utaelewa jinsi wanapromote quality education na high standards za elimu chuoni..

GRADING SYSTEM

100-80 A 5 Distinction
79-70 B+ 4 High Credit
69-60 B 3 Credit
59-50 C 2 Pass
49-35 D 1 Fail
34-0 E 0 Bad Fail

G.P.A

5.0- 4.5 First Class A
4.4- 3.5 Upper Second Class B+
3.4- 2.6 Lower Second Class B
2.5- 2.0 Pass (Third Class) C
 
Wanachuo wengi siku hizi hawataki kusoma, hawajibidishi katika mambo ya kitaaluma badala yake wapo busy na mambo ya starehe, muda wote wanacheza na simu, walimu wanafundisha wao wanachati kwenye net kupitia simu zao. Wadada wengi nao ni kujiuza ili kusaka pesa za kutesea, wanataka kuishi maisha ya juu zaid ya uwezo wao halisi, matokeo yake ndom hayo wanaelekeza nguvu nyingi kutafuta pesa tena kwa njia haramu badala ya kusoma, mwisho wa siku wanafeli!
 
UDSM supplimentary ilikuwa balaaa, BLOCK E Mabibo ilishona mtu sita hadi nane kwa kila room ukiacha wale waliotokea kitaa. Hii ni ishara ya wanachuo wa sasa. Ukienda SUA disco zinakatisha tamaa, sembuse SAUT ambako wanapokea wanafunzi wa kila aina? Kuna vyuo vingine wanapitisha tu, aheeri hao wamechukua step?
 
Si kwel mkuu mziki wa udsm usiulinganishe hata kidogo na saut, kuna ndugu yangu yupo hapo saut alipata 3ya mwshn sasa unafkr kama wanachukua wa2 ambao hawana kwalifkeshn inakuaje? Tcu inavpendlea vyuo vya serikal kwa kuwapa pure studnts but hvyo private vinapata impure. So its difct 2compare udsm vs saut interm of akademc matters

ud kuna mziki ni what sense?
 
Back
Top Bottom