85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii


Ujumbe wako huu hapa. Umetrend huko twitani.
 
Huu ushamba WA simu tunao Africa ndio Maana mzungu yeye kashajua sisi ni dampo Kila cku litatoka toleo jipya,Kwao huo upuuzi wa kubadili toleo Kila Leo halipo.Mtu anacm ya kawaida yenye mawasiliano,camera Moja na laptop imetosha.Ila sisi maskini kulia mbwata mpaka tujaze uchafu home ndio tunajua tumejipata.
 
Bonge la wakuja
Iphone2 nilitumia sikuipenda kabisa na Ipad 2 vyote nimetoa sadaka,mpk sasa na kipenzi changu Samsung sina tabu.
 
Huko kwa wazungu ndio kuna consumerism ya kutisha. Fuatilia mauzo ya hiyo iPhone siku ya kwanza tu uone.
 
mimba na maambukizi vitaongezeka kwa hii iphone pro
Kwa sisi wa kitambo kwy simu. Umenikumbusha enzi zile za Black Berry. Wadada walipoteza ubinadamu na kufanyiwa vitu vya kinyama kisa izo black berry
 
Hapa ndipo umeimba taarabu kuliko kusomesha
 
🤣
Kwanza mm nataka wali wa mama amina ili nianze kupambana kufukuza nzi, huku kwa pembeni amina amejinyea harufu yote kwangu, vijiko viwili vyangu vya wali ghafla nakutana na kifo cha mende kwenye maharage, yn hakuna kula kwa amani ndo raha yangu hiyo
🤣
 
I phone imekua simu ya kawaida sana nowadays...
Mmeoona Samsung s25 nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…