85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

Iphone ni simu nzuri, na latest zinakuwaga nzuri mno, atleast to me..

Kujiuza ili upate hela ya iphone sioni ubaya as long as wahusika wako okay nayo. watu wanakaba, wanapora, wanafanya ujambazi , wanaloga, wanafanya ufisadi baada ya kuzipata wanaziteketeza bar, au kwenye starehe yoyote isiyokuwa na faida, so tuwaache wapenda Iphone wanunue tu. Btw, kuliwa ni kuliwa na uchakavu ni ule ule either unalipwa au hulipwi, kulipwa ni added advantage 😝

Anyways ni vile tu sina hela ila ningenunua 😀😅
 
Watanzania wanaomudu simu za kuanzia 1m ni wachache. Kusema tusiwashauri watanzania wenzetu ambao bado ni wajinga itakuwa dhambi. Mleta uzi umetimiza wajibu wako Mungu akubariki sana. Kwa nchi maskini kama Tanzania ilitakiwa hizo simu zinunuliwe kwa kibali maalum toka ofisi ya mkuu wa wilaya au mwenyekiti wa CCM ngazi ya kata.
 
Ha ha ha....

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…