Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Na umeweza kutype😲😲Nimegonga mara 7 eti
Hiyo sio kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na umeweza kutype😲😲Nimegonga mara 7 eti
Ndio maana nataka niiuzeNa umeweza kutype😲😲
Hiyo sio kichwa
Shusha bei nkutaftie mteja nipate hata kamisheni😂Ndio maana nataka niiuze
Tafuta kwanza 15 🍎ya duo. Ndio nitafute mteja wa kichwaShusha bei nkutaftie mteja nipate hata kamisheni😂
😂 naijua hiyoTafuta kwanza 15 🍎ya duo. Ndio nitafute mteja wa kichwa
True, huko 🇺🇸 wanafanya kupanga foleni siku ya launch. Kila mtu anataka kuwa wa kwanza kununua siku ya kwanza.Sema wakati mwingine akili tunashikiwa na mtengenezaji.
Na hapo ukiiwasha haizimi tena mpaka baada ya siku 2😆😆Nina tecno phantom x, inaweza ikazima batterry low, ila ukiiwasha tena inakuambia battery ina charge 100 percent
🤣🤣 unataka kusemaje?Nina tecno phantom x, inaweza ikazima batterry low, ila ukiiwasha tena inakuambia battery ina charge 100 percent
Tatizo la iphone bana kuanzia 12, 13, 14 na sasa 15 zote zinafanana sana mtu mpaka umuambie hii ni 14 au 15 ndio atajua 😄True, huko 🇺🇸 wanafanya kupanga foleni siku ya launch. Kila mtu anataka kuwa wa kwanza kununua siku ya kwanza.
Hii ni kauli inayowaponza wengi. Utakuta wewe unayesema hivi uko makini hatari.Tafuta pesa bhana [emoji23] acha kupangia watu matumizi ya pesa zao
Sijui hata nani sitaki ajue[emoji1787][emoji1787], 14 pro nilishatoaHutaki nani ajue? Ebu tuanze na 14 pro kwanza [emoji12]
Kwani Dada kauza Utu kwa kumiliki Iphone?Alafu pia, Dada yangu!
Hizi ni simu hazina Mwisho,
Linda Utu wako! Kuliko Vyote
Ulindavyo!
Sijui hata nani sitaki ajue[emoji1787][emoji1787], 14 pro nilishatoa
Ha ha ha....Tecno ni kifaa kilichotengenezwa na jing wong wung mwaka alfu mbili na sita, katika jamhuri ya watu wa china.
Inasadikika ya kwamba tecno ni kifaa cha maongezi, mpaka sasa hamna ushahidi wowote wa kisayansi kuthibisha ya kwamba tecno ni simu [emoji16]