85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

T

Tatizo la iphone bana kuanzia 12, 13, 14 na sasa 15 zote zinafanana sana mtu mpaka umuambie hii ni 14 au 15 ndio atajua [emoji1]

Yani iphone kila inayotoka ina unique features zake ambazo watumiaj wa iphone wakiiona tu wanaijua mfano kila pro na pro max inakua na rangi yake japo moja kama 14 pro max ilkuja na colour ya deep purple na dynamic island na 15 pro max sasa imekuja na rangi nne ambazo hakuna purple vile vile kwenye dynamic island 14 plus haikua nayo ila models za 15 zote zinazo na button ya pemben ya kueka silent mode imaekwa vyengne kabsa so watumiaj wakiiona tu wanajua hii ni iphone gan kwa jicho la mara moja tu hata size ya macho pia ya camera ni tofaut from model to model
 
Unakitu utafika mbali kijana 😅😅😅
 
Kodi zitaongezeka kwa baadhi ya watuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…