85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

T

Tatizo la iphone bana kuanzia 12, 13, 14 na sasa 15 zote zinafanana sana mtu mpaka umuambie hii ni 14 au 15 ndio atajua [emoji1]

Yani iphone kila inayotoka ina unique features zake ambazo watumiaj wa iphone wakiiona tu wanaijua mfano kila pro na pro max inakua na rangi yake japo moja kama 14 pro max ilkuja na colour ya deep purple na dynamic island na 15 pro max sasa imekuja na rangi nne ambazo hakuna purple vile vile kwenye dynamic island 14 plus haikua nayo ila models za 15 zote zinazo na button ya pemben ya kueka silent mode imaekwa vyengne kabsa so watumiaj wakiiona tu wanajua hii ni iphone gan kwa jicho la mara moja tu hata size ya macho pia ya camera ni tofaut from model to model
IMG_3141.jpg

IMG_3140.jpg
 
85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii

Kwanini?

Subiri nikupe Story,

Nina Ndugu yangu

Kila ikitoka iPhone,
New Model, lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!

My Guess Mwisho wa mwezi huu kabla haujaisha lazima anipigie Simu anipe Umbea kwamba
Anayo mkononi!

Na anachukua the latest Model
Yenye Pro Max - 1TB

Sasa Bhana! Kitu anachofanyia hiyo simu ndio Kinachekesha,
Na hapa ndio watu wengi wanafanya,

"Wrong Investment"

oK, Kwanini?

Kuna Sababu kubwa
Kwanini Apple wanatoa

↳iPhone 15 -$799 (128GB)
↳iPhone 15 Plus - $899 (128GB)

Hizi ni kwaajili ya Watu,
Wa kawaida, ambao-
Matumizi yao sio Makubwa...

Kama:
↳Kuchati Na kupiga cha za hapa na pale!
(Na matumizi mengine ya kawaida)

Linapokuja sasa Swala la
(Pro line up);

↳iPhone 15 Pro - $999 (128GB)
↳iPhone 15 Pro Max - $1199 (256GB)

Hapa tunahama kabisa,
Kwenye Matumizi ya,
Kawaida na ndio maana Kuna neno (PRO)

Pro means- For Proffesionals!

Na ndio maana umeona
Kwenye Uzinduzi wame-
Taja watu wa aina Mbili...

  • Photographers
  • Videographer/Film Maker!

Sasa wewe na kiranga chako,
ili mradi watu wakuone,
Una iPhone Kubwa...

Unaenda Ku-invest More,
Than 4M kwenye Kitu,
Ambacho hukitumii to the Max,

By the way: Kila nikimkuta,
Ndugu yangu yeye ni,

  • Snapchat
  • Candy Crash Saga...
  • Mange Kimambi,
Akisoma Umbea!

Ona sasa 🥲

Anyway: Okoa Pesa zako,
Acha kwenda kwa Trend...

Alafu pia, Dada yangu!

Hizi ni simu hazina Mwisho,
Linda Utu wako! Kuliko Vyote
Ulindavyo!

Yangu ni hayo tu!

AM OUT!
Unakitu utafika mbali kijana 😅😅😅
 
Watanzania wanaomudu simu za kuanzia 1m ni wachache. Kusema tusisashauri watanzania wenzetu ambao bado ni wajinga itakuwa dhambi. Mleta uzi umetimiza wajibu wako Mungu akubariki sana. Kwa nchi maskini kama Tanzania ilitakiwa hizo simu zinunuliwe kwa kibali maalum toka ofisi ya mkuu wa wilaya au mwenyekiti wa CCM ngazi ya kata.
Kodi zitaongezeka kwa baadhi ya watuu
 
Back
Top Bottom