85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

Maskini wa hela na akili ndo hushindanaga na trends
 
Tajiri akinunua ambae Kwa mwezi ana uhakika wa pesa hata mara mbili ya hiyo 4M hamna shida. Tatizo ni mtu ambae kuipata hiyo 4M hadi afanye saving hata mwaka mzima halafu anaweka kipaumbele chake kununua iphone 15.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ila nyiee

Watu mbona wanafanya saving mwaka mzima, ili dec wakatulize akili porini ama nje/ znz/ vacay??
 
Ila nyiee

Watu mbona wanafanya saving mwaka mzima, ili dec wakatulize akili porini ama nje/ znz/ vacay??
Lets assume mtu ame save Kwa mwaka 5M na mwingine ka save 1M. Vacation december labda Zanzibar itakula 900,000. Huyu wa 1M utamshauri aende tu au atafute somewhere cheaper?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…