85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

Lets assume mtu ame save Kwa mwaka 5M na mwingine ka save 1M. Vacation december labda Zanzibar itakula 900,000. Huyu wa 1M utamshauri aende tu au atafute somewhere cheaper?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Only if I saved for vacay, hee sioni shida kuimaliza hiyo 1m kwa vacay.
 
[emoji106]Same as kwa wanao save kwa ajili ya simu fulani, ama kitu fulani. Specific
Mwanzoni nilikuwa nawalenga wanaosave au kutumia pesa nyingi kwa ajili ya simu huku baadhi ya vitu basic wanakosa.

Mfano nimesoma na watu boom lote ananunua iphone halafu anakopa hela ya kula, kulipia chumba au anataka kuchangiwa ada ya semester ambayo ni ndogo mara mbili ya iphone anayomiliki.

Ndo maana ya kutumia neno "tajiri" (lakini nililenga wenye uwezo) na ambao vitu basic wanaweza kutimiza. Huyu hata akisave au akitumia saving kwa ajili ya iphone lakini vitu basic anaweza kujitimizia hamna shida. Ila una save for iphone halafu kodi inakusuburi why usitumie simu ya kawaida tu pesa nyingine ushughulikie vitu basic kama Kodi?

Nimeelewa hoja yako.
 
Sema kaka kumbwa mm sina maisha ila watu wana pesa pitia pitia mitaa kidimbwi mbezi beach Chini uku siku za weekend
Wacha yule anae piga nazo picha sijui mashlove njoo kidimbwi utaacha kushari watu utafungua kanisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]
 
85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii

Kwanini?

Subiri nikupe Story,

Nina Ndugu yangu

Kila ikitoka iPhone,
New Model, lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!

My Guess Mwisho wa mwezi huu kabla haujaisha lazima anipigie Simu anipe Umbea kwamba
Anayo mkononi!

Na anachukua the latest Model
Yenye Pro Max - 1TB

Sasa Bhana! Kitu anachofanyia hiyo simu ndio Kinachekesha,
Na hapa ndio watu wengi wanafanya,

"Wrong Investment"

oK, Kwanini?

Kuna Sababu kubwa
Kwanini Apple wanatoa

↳iPhone 15 -$799 (128GB)
↳iPhone 15 Plus - $899 (128GB)

Hizi ni kwaajili ya Watu,
Wa kawaida, ambao-
Matumizi yao sio Makubwa...

Kama:
↳Kuchati Na kupiga cha za hapa na pale!
(Na matumizi mengine ya kawaida)

Linapokuja sasa Swala la
(Pro line up);

↳iPhone 15 Pro - $999 (128GB)
↳iPhone 15 Pro Max - $1199 (256GB)

Hapa tunahama kabisa,
Kwenye Matumizi ya,
Kawaida na ndio maana Kuna neno (PRO)

Pro means- For Proffesionals!

Na ndio maana umeona
Kwenye Uzinduzi wame-
Taja watu wa aina Mbili...

  • Photographers
  • Videographer/Film Maker!

Sasa wewe na kiranga chako,
ili mradi watu wakuone,
Una iPhone Kubwa...

Unaenda Ku-invest More,
Than 4M kwenye Kitu,
Ambacho hukitumii to the Max,

By the way: Kila nikimkuta,
Ndugu yangu yeye ni,

  • Snapchat
  • Candy Crash Saga...
  • Mange Kimambi,
Akisoma Umbea!

Ona sasa 🥲

Anyway: Okoa Pesa zako,
Acha kwenda kwa Trend...

Alafu pia, Dada yangu!

Hizi ni simu hazina Mwisho,
Linda Utu wako! Kuliko Vyote
Ulindavyo!

Yangu ni hayo tu!

AM OUT!
Umeshindwa kueleza vizuri, ni kwamba HAWAITAJI HIZO SIMU SABABU HAWANA MATUMIZI NAZO. Hawajui kuzitumia, ni ujinga ata kama una ela kutumia simu ambayo huwezi kuitumia, mimi iphone ni simu nzuri tu ila kwa sasa haina nafasi kwangu sababu siwezi tena ku jail break. Nipo naisubiri pixel 8, hiyo ndio simu, usable, camera ya maana na sasa wameboresha battery na screen. Nafanya vitu zaidi ya iphone na sitoboki mfuko, huo ndio ujanja. Wanaotaka status symbol, ujue ni mental health issue.
 
Back
Top Bottom