Sasa nyumba bila finishing ni nyumba?ESTIMATED COST BILA FINISHING 85-90M
Kwenye finishing unaamua wewe mwenye nyumba. Gofu hilo la 85m kuna mwingine atafanya finishing ya 50m mwingine finishing ya 200m.Sasa nyumba bila finishing ni nyumba?
Why can't u put things in its reality...au sena cost zite before finishing lkn muhimu ni kuhusisha cost zote maana ndo maana halisi ya nyumba na ndo maana ww picha hujaweka ya gofu...mnasikitisha sana,