88 NAIROBI. The 44 floor condominium Highrise


Ndiyo, Zimamoto ya Dubai wana uwezo wa kuzima moto kwenye hizo skyscrapers vinginevyo wasingepata kibali cha kujenga.

Wana vifaa vyote helicopters, jets, robots, cranes vya kuzimia moto, ili uweze kujenga jengo lolote ni lzm watu wa Maji, Zimamoto, umeme n.k. pia watoe kibali kama hawana uwezo wa kuzima moto kwenye jengo unalojenga hawatoi kibali na bila kibali hakuna ujenzi!
 

Tihahahhaaaaa. You made me giggle sheepishly. A good answer for a sheepish question
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…