8805 applicants hawajachaguliwa first round selection kupitia TCU.

8805 applicants hawajachaguliwa first round selection kupitia TCU.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
TCU wametoa idadi hiyo ya majina katika website yao ambapo applicants hawakuchaguliwa kutokana na sababu zilizoelezwa na TCU hivyo watatakiwa kufanya selection upya kwa kufuata maelekezo maalumu yaliyotolewa na mwisho ni tarehe 9 august 2013.ufuatiliaji katika hili unahitajika kama wewe ni muhusika.asanteni.
 
samaani tupia humu kama umeshayadauniload maana neti inasumbua sana maeneo ya vijijini kwa sasa
 
TCU wametoa idadi hiyo ya majina katika website yao ambapo applicants hawakuchaguliwa kutokana na sababu zilizoelezwa na TCU hivyo watatakiwa kufanya selection upya kwa kufuata maelekezo maalumu yaliyotolewa na mwisho ni tarehe 9 august 2013.ufuatiliaji katika hili unahitajika kama wewe ni muhusika.asanteni.

kaka tupia humu
 
naomba mliopata majina ya wasiochaguliwa mnichekie jina emmanuel mwambelo p2517/0504/2011
 
kweli kaka?

ndiyo kaka! So kma vp we log in kama kawaida kwenye tcu account yako! then angalia kwenye profile+selection status then kama ukikuta zile course zako tano ulizojaza inamaana umepata moja wapo kati ya hzoo sema muda wa kukuonyesha umechaguliwa ipi haujafika ila chuo umepata! So ni hayo tuuuu! Overrrr
 
Jamani hii imeakaaje yaani hata profile yangu tu haifunguki
Sijui nifanyaje jamani!
 
Mm nachek zote zipo. Lakin wameandika Not yet
processed. Hii iko vp ??
 
Haya ndo mambo ya maana hongera kaka kwa taarifa. Wengine wajifunze ili wasilete umbea humu.
 
Back
Top Bottom