89% of Tanzanians do not pay income tax - Don

89% of Tanzanians do not pay income tax - Don

Muda huu kuna kashfa ya wahuni fulani kuvalishwa sare za Polisi mkoani Iringa na kupewa silaha, ambazo zimenunuliwa kwa fedha ya kodi hiyo hiyo kidogo. Hebu fikiria jinsi wanasiasa wanavyochota fedha hazina kwa anasa. Hapa Tanzania kodi zaidi maana yake ni matumizi ya anasa zaidi, PERIOD.

I always struggle to justify anything rather than a total boycott to setle our taxes/levies to this silly government.
 
nilipe kodi ili nizidi kumsaidia JK awe anasafiri zaidi au wawe wanazidi kutuibia..bora...
 
Aisee kweli wanadamu wa ajabu kuliko viumbe vyote. Yaani, wanalipa kodi kwenye dunia waliyozaliwa!
Napita tu, ila hainiingii kichwani....
 
Back
Top Bottom