Muda huu kuna kashfa ya wahuni fulani kuvalishwa sare za Polisi mkoani Iringa na kupewa silaha, ambazo zimenunuliwa kwa fedha ya kodi hiyo hiyo kidogo. Hebu fikiria jinsi wanasiasa wanavyochota fedha hazina kwa anasa. Hapa Tanzania kodi zaidi maana yake ni matumizi ya anasa zaidi, PERIOD.
I always struggle to justify anything rather than a total boycott to setle our taxes/levies to this silly government.