8th Sullivan Summit Arusha Tanzania

umemsahau Karamagi....

how about this...?


Seriously hii thread imenisababishia matatatizo ghafla!!.. sasa ninatetemeka na najisikia moyo unakwenda mbio kuliko kawaida!!najisikia mbofumbofu.Inabidi nifanye namna nionane na daktari mapema. Very unfortunate.
 
Seriously hii thread imenisababishia matatatizo ghafla!!.. sasa ninatetemeka na najisikia moyo unakwenda mbio kuliko kawaida!!najisikia mbofumbofu.Inabidi nifanye namna nionane na daktari mapema. Very unfortunate.

Pole sana ndugu mfwatiliaji! Hiyo ni panic or anxiety attack! But ikipita and you start thinking straight inabidi utafute njia ya kujituliza and action plan!🙂
 
Pole sana ndugu mfwatiliaji! Hiyo ni panic or anxiety attack! But ikipita and you start thinking straight inabidi utafute njia ya kujituliza and action plan!🙂

Ok, nitafuata ushauri wako sasa. Nadhani nina tatizo la temper maana huko nyuma niliwahi kumpiga traffic pale kibaha station ndani ya kile kibanda chao. Ikatokea tena nikamkwida koo assessor wa tanesco (mkoa nahifadhi) ndani ya ofisi yake baada kunikatalia faragha na meneja. Lakini katika event zote mbili wakuu wao walinielewa hivyo sikuchukuliwa hatua za kisheria za kufunguliwa mashtaka kwa kufanya mashambulio ofisini.
 

You are one of those many people in Tanzania who are frustrated, lakini hebu ona jinsi watawala wetu wanavyotuendesha, alafu we pay our taxes through our nose!
Sasa kama ushauri, you have to learn your anger or fury into more constructive action! This is true for every situation, in tanesco's case and grand theft of our country!
 

..ulikuwa na bahati,siku nyingine haitokuwa ya bahati!kuwa makini zaidi na hasira zako!kama ulivyoshauriwa tafuta sehemu muafaka ya kuzitolea!

..nashauri ufanye mazoezi ya viungo,kucheza mpira,kulima kama una shamba,kumwagilia mimea kama unayo au kupanda ngazi za ofisini badala ya lift,hasa pale unapokasirika.usije siku ukuamkwida bosi wako,sidhani kama kibarua kitakuwepo baada ya hilo!
 
Mhh! Hii ya Karamagi kali! The plot thickens! Hii picha ilipigwa wapi in TZ au USA na ni mwaka huu?
Jamani we are so blind! Icadon tell us the connection please!

Hii picha ilikuwa mwaka jana october mjini New York wakati Andrew Young anafungua Annual Tanzania Investment Forum.
 
Hatimaye the dots are getting closer and closer..

Nyie Ndio Manazidi Kuni Changanya...!! Hivi ni kweli Jamaa wali zikwa Mgodini..??

Sasa Tatizo Liko wapi...Ni hiyo campuny ya Barrick Gold mine Ndio iliyo zika watu au Ni sisi wenyewe Tulio Jizika...?
 
Kama tuna weza Kulaumu Kiasi hiki...Tena kwa kufuatilia kwa umakini..Mbona tuna shindwa Kufuatilia yakwetu...Mnataka JK Afanye Nini...??
Mbona wapo wakina Andrew Chenge!!SUMAYE.....

Napenda Kuwa sikiliza nyie..Na nimesikia Uchungu sana Kukumbushwa Habari ya watu Kufa Mgodini..

Ilikuaje?
Nakumbuka Mrema alisema sana Lakini sijui Iliishia wapi? I'm very sorry....I had good plans- I have to think first...

let me know -what Is this?
 
Hii ya watu kufa migodini si uwongo. Mwanasheria Tindu Lissu anazo data. Mkapa alifanya kila hila kuwafanya Mrema na Lissu waonekane waongo. Mimi niliisikia tangu mwaka 1998 pale Mwanza.
 
Ingawa sikuwa nchini lakini hii issue ya watu kuzikwa migodini ni kweli na in fact kuna mama moja wa COngress huko USA alijaribu kuhamasisha wenzake wafuatilie maana aliona ile connection ya Andrew Young but the Powers that be prevailed, na yeye akapigwa chini. Mimi nadhani ni vyema sisi kuanza kuchimbua ukweli. Evidence wanazo akina Tundu Lissu na Mrema but they have been cowed and threatened. Lakini siyo kwamba haiwezekanimaana evidence nyingine nasikia ziko Marekani.
 
What I see is that this ishu ya watu kuzikwa migodini is one facet of a larger problem. We have to move on to connect the dots ili tuelewe ni kitu gani kinaendelea hivi sasa. Mi ninachoshauri ni kwamba tujaribu kuelewa what is Andrew Young doing? Huyu mtu anajulikana tayari nasikia Nyerere alimtimua enzi hizo sasa karudi kwa nguvu zote!
Tunasema hii Sullivan summmit italeta wawekezaji hebu visit website yao na ile ya tanzania alafu angalia marais wanaokuja na wawekezaji wanaoattend. They are all clients of GoodWorks International ambao ni akina Andrew Young huyohuyo. Na Young anawakata commission for each deal they make with Bongo. Hii ya Barrick Gold kwa kuangalia hiyo picha nina uhakika it had to do a lot with issue hii ya Barrick Gold contract iliyosainiwa na Karamagi!. TANZANIANS WAKE UP! The answers are in front of our noses! Let me continue to connect dots...
 

mfwatiliaji:
Isije ikawa una undugu wa karibu na mama Lucy Kibaki. Hebu jaribu kununua ki DNA-kit wanachouza akina Andrew Young, labda kitakusaidia kujua!

Seriously: Anger management classes will help alot. Sometimes, merely counting 1 - 10 when such anger takes hold could avoid your adrenaline rush. Chukua tahadhari, kwani siku moja unaweza kuzuia shaba wakati unaelekea kutimiza lengo lako.
 
Ok, here's another dot connected!
University of St Thomas is in Minneapolis, Minnesota. Wao ndiyo waliomtunikia PhD Kikwete. So how does this fit in here?
Read this:
So Andrew Young hutoa hotuba na huendesha forums katika University of St Thomas. Hii Forum ilikuwa Feb. 20-21, 2007

So Kikwete alitunukiwa shahada for what achievement?
Link: http://www.stthomas.edu/calendars/ustevents/showevent.cfm?EventID=-1300374917
But check this out! There's no reason given why he deserves the doctorate!

I move on to look for other stuff....
 
Ok, So here is more infomration about GoodWorks International LLC! Kumbe wanafungua ofisi hapa ili wajipange vizuri
 
Kulikoni: Hawa Wamarekani na Serikali Yao wana lao Jambo na Tanzania yetu; siku za karibuni tutalijua wanalolitaka. Walianza kutumwagia misifa kuwa uchumi wetu unaendelea kukua na sasa maweanza kutupa vijizawadi vya hapa na pale...I don't trust these folks.
 

Frankly, when given an opportunity to choose between two evils, kati ya "Sullivan thing na akina Andrew Young," versus "Kambi za Kudumu za Kijeshi," I'll have no hesitation choosing the former, for I know we can deal and tame the A. Youngs any time we want to, post serikali ya Boys-to-Men.

Anyway, hawa watu wa Sullivan kama kweli wangekuwa na lolote la maana, si tungekuwa tumekwishaona matokeo ya juhudi zao kule Afrika Magharibi - Senegal, Ghana na Nigeria? Hawana lolote hawa, they are just hot air, nothing more. Ndio maana wanauza DNA-kits kwenye hadhara iliyotegemewa kuwa ya maana kama hiyo huko Washington D.C.
 
..ofisi ipo kitambo sasa. dada mmoja mrefu mrembo ndo anaiongoza!

Ndiyo maana nawapenda wanaJF! Haya ndugu DSL, unaweza kunipa data, ofisi zao ziko wapi, au simu namba yao? Natanguliza shukrani zangu
 

Kalamu, mi nadhani tunawa-underestimate akina Andrew Young! Naona katika research yangu kwamba he is actually connected to the US government in fact hasa na akina Republicans, in particular wale 'hawks' kama akina Wolfowitz. Wale 'hawks' ndiyo wanatafuta military base hapa! Na wameshaji-insure akina Andrew Young maana wametafuta urafiki na akina Clinton (check posts zangu hapo juu). So hata Hilary Clinton akishinda mambo ni yaleyale. Na ndiyo maana Young amesema Obama hafai kuwa rais!
Whichever way we are screwed!
 
Pia Clinton amemfanya Young kuwa Chairman of Southern Africa Development Fund aliyoianzisha in 1994! Figure that!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…