9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

Unaonekana mkarimu
 
cutelove leo rasmi kengele ya hatari imelia kwenye ubongo wangu

ukitaka hii kenyele inyamaze naomba useme na ukubali hizo picha si zako

na useme kwanini uliamua kutumia picha ambazo si zako kusema ni wewe?

Usipoweza nifafanulia hayo maelezo,hii kengele itaendele kulia,sijui mpk saa ngapi.
 
nitumie PM hizo account boss
Akikutumia unitag

Mkuu Wick huyo dada mwenye picha ni mkenya alikuwa au bado anafanya kazi kampuni ya Rama Homes Limited huko Westlands Kenya.
Facebook kuna mtu anatumia picha zake anajiita Elizabeth Mtoni,.
Huyo Elizabeth ukimsearch facebook ana account zaidi ya 4 ila umri tofauti.

Kuna mtu mwingine huko facebook anatumia picha za huyo dada anaitwa Fausta Juma.

Inaonekana kama hawa wabongo wanatumia picha zake nzuri kufanya utapeli mitandaoni kusaka wanaume wenye tamaa ya warembo.

Sikupenda kuweka hivi lakini huyu mleta mada kanilazimisha.
Tena huko facebook anapicha kibao amevaa hadi kitambulisho cha kazini.
 
cc: Mhariri Moderator JamiiForums Maxence Melo kama nimevunja sheria zenu naomba mufute tu hii kitu na mkijiridhisha maelezo yangu chukueni hatua mdhibiti watu wanaoshusha hadhi ya JF, kuleta taharuki na kuvunja sheria za makosa ya kimtandao kwa kutumia pich za watu wengine huku wakijinasibisha kufanya ngono zembe na watu kadhaa.
Kamchafua mdada husika hata kama sio mtanzania.
 
Wanaume wa Kibongo wana mambo ya ajabu sana, sijui ni utoto ama ni tamaa? Hapo utakuta washajazana PM! hahaa!! endeleeni tu na tamaa za ajabu, kwa mtindo huu na mtapigwa sana walaqhi'..
 
Baharia katika ubora wako[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…