Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unastahili kuwa air hostage..!Karibuni sanaView attachment 1277892
Unaonekana mkarimuTarehe za Uhuru ndani ya jiji bora na jiji la mawe la sato na sangara zinakaribia.
Zitafanyikia uwanja wa CCM Kirumba, nyuma kidogo na ofisi zangu (Kirumba sokoni)
Wale wa mikoani, nawakaribisha sana. Karibu kwenye jiji letu bora na pendwa.
Jiji lenye makabila yote Tanzania ila wenyeji Wasukuma ndo wengi, Wahaya, Wanyambo, Wakerewe, Wakurya, Wajeluo, Wanyamwezi, Waha na Wachagga kwa uchache.
Mabaharia na mbinu za verificationAshike kikaratasi kilichoandikwa jf[emoji23][emoji23][emoji23]
aaaaah subututuuuuu huyu uwe wewe cuteloveKaribuni sanaView attachment 1277892
Why huamini mbona humu kuna totoz kali tu
nitumie PM hizo account boss
Akikutumia unitag
Nitumie nauli tu
cc: Mhariri Moderator JamiiForums Maxence Melo kama nimevunja sheria zenu naomba mufute tu hii kitu na mkijiridhisha maelezo yangu chukueni hatua mdhibiti watu wanaoshusha hadhi ya JF, kuleta taharuki na kuvunja sheria za makosa ya kimtandao kwa kutumia pich za watu wengine huku wakijinasibisha kufanya ngono zembe na watu kadhaa.Mkuu Wick huyo dada mwenye picha ni mkenya alikuwa au bado anafanya kazi kampuni ya Rama Homes Limited huko Westlands Kenya.
Facebook kuna mtu anatumia picha zake anajiita Elizabeth Mtoni,.
Huyo Elizabeth ukimsearch facebook ana account zaidi ya 4 ila umri tofauti.
Kuna mtu mwingine huko facebook anatumia picha za huyo dada anaitwa Fausta Juma.
Inaonekana kama hawa wabongo wanatumia picha zake nzuri kufanya utapeli mitandaoni kusaka wanaume wenye tamaa ya warembo.
Sikupenda kuweka hivi lakini huyu mleta mada kanilazimisha.
Tena huko facebook anapicha kibao amevaa hadi kitambulisho cha kazini.
Huyu namfahamu siyo wewe
Wanaume wa Kibongo wana mambo ya ajabu sana, sijui ni utoto ama ni tamaa? Hapo utakuta washajazana PM! hahaa!! endeleeni tu na tamaa za ajabu, kwa mtindo huu na mtapigwa sana walaqhi'..Mkuu Wick huyo dada mwenye picha ni mkenya alikuwa au bado anafanya kazi kampuni ya Rama Homes Limited huko Westlands Kenya.
Facebook kuna mtu anatumia picha zake anajiita Elizabeth Mtoni,.
Huyo Elizabeth ukimsearch facebook ana account zaidi ya 4 ila umri tofauti.
Kuna mtu mwingine huko facebook anatumia picha za huyo dada anaitwa Fausta Juma.
Inaonekana kama hawa wabongo wanatumia picha zake nzuri kufanya utapeli mitandaoni kusaka wanaume wenye tamaa ya warembo.
Sikupenda kuweka hivi lakini huyu mleta mada kanilazimisha.
Tena huko facebook anapicha kibao amevaa hadi kitambulisho cha kazini.
Naomba unipm plz wangu.Nini sasa
Ndio maana mabaharia wanagoma kutumia CDM. HatariNdio,ndo Mimi haswaa
Jamani PM twende kwa nafasi... Msuweke trafick jam huko[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha! Na hii ni fake piaView attachment 1277923
Baharia katika ubora wako[emoji23][emoji23]Mkuu Wick huyo dada mwenye picha ni mkenya alikuwa au bado anafanya kazi kampuni ya Rama Homes Limited huko Westlands Kenya.