9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

Mpaka hapa mtoa mada ni muongo Kwani ameshindwa kutuma selfie alizoombwa. ..

Pia hajiamini alivo ndomana kafake picha
 
asante,, siku ukitembea maeneo ya malimbe nakukaribisha geto
 
Tamaa mama hakuna kingine nailewa vizuri specie yangu..hawa watu wangu na sio bongo tu ni world wide [emoji3][emoji3] ....
Wanaume wa Kibongo wana mambo ya ajabu sana, sijui ni utoto ama ni tamaa? Hapo utakuta washajazana PM! hahaa!! endeleeni tu na tamaa za ajabu, kwa mtindo huu na mtapigwa sana walaqhi'..
 
Wanaume wa Kibongo wana mambo ya ajabu sana, sijui ni utoto ama ni tamaa? Hapo utakuta washajazana PM! hahaa!! endeleeni tu na tamaa za ajabu, kwa mtindo huu na mtapigwa sana walaqhi'..
My dear, mimi sina tamaa za ajabu.
 
cutelove,
Aaaah Aiseeh najuta mno wenzangu wamelazimisha tukachukua vyumba hapa G & G. Kumbe Kirumba kuna mwenyeji?
Ngoja nije PM niwatoroke uzuri hali ya hewa nzuri sana!
 
Jamaa alisema kimwanamke kifupi kimekomaaa mbna ni mrembo tu jaman
Hapo na mm ndio nashindwa kuelewa hivi pisi kama hii hata kama umeambiwa ni mbovu nitapiga hivyo hivyo kwa tahadhari,nadhan huyu ni tapeli tuu kama walivyo matapeli wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…