Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Unataka ukafikie kwa nani eti jamani[emoji15][emoji15][emoji15]Nimekosa nini kwani mimi eti?
[emoji24][emoji24]Kwanini unapenda kunifanyia hivi?
Sema basi kuwa ni utani tu hujaniacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka ukafikie kwa nani eti jamani[emoji15][emoji15][emoji15]Nimekosa nini kwani mimi eti?
[emoji24][emoji24]Kwanini unapenda kunifanyia hivi?
Sema basi kuwa ni utani tu hujaniacha.
Oooh kumbe umefika, Mkuu troublemaker alikua anakusalimu[emoji12][emoji12]Abeeeee
Binamu yetu Cute love.Unataka ukafikie kwa nani eti jamani
Kwa taarifa yako hatuachani teh...😀Oooh kumbe umefika, Mkuu troublemaker alikua anakusalimu[emoji12][emoji12]
Mefika mkuuOooh kumbe umefika, Mkuu troublemaker alikua anakusalimu[emoji12][emoji12]
MmmhhhBinamu yetu Cute love.
Ngoja nije PM kwanza kabla sijafika mwanzaKaribuni sanaView attachment 1277892
Wanaume wa Kibongo wana mambo ya ajabu sana, sijui ni utoto ama ni tamaa? Hapo utakuta washajazana PM! hahaa!! endeleeni tu na tamaa za ajabu, kwa mtindo huu na mtapigwa sana walaqhi'..
My dear, mimi sina tamaa za ajabu.Wanaume wa Kibongo wana mambo ya ajabu sana, sijui ni utoto ama ni tamaa? Hapo utakuta washajazana PM! hahaa!! endeleeni tu na tamaa za ajabu, kwa mtindo huu na mtapigwa sana walaqhi'..
Ahaaahaa[emoji23] mizinga ya msimu huu[emoji115]Nitumie nauli tu
Hapo na mm ndio nashindwa kuelewa hivi pisi kama hii hata kama umeambiwa ni mbovu nitapiga hivyo hivyo kwa tahadhari,nadhan huyu ni tapeli tuu kama walivyo matapeli wengineJamaa alisema kimwanamke kifupi kimekomaaa mbna ni mrembo tu jaman
Keep it up,Mimi nina kiasi.
Thanks my dear.Keep it up,
Picha ya huyu dada wasenge.rema wengi sana wanapenda kuitumia.Karibuni sanaView attachment 1277892