DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Be real.Ndio,ndo Mimi haswaa
Ndio wewee hapo?Karibuni sanaView attachment 1277892
Ndio wewe hapo,halafu kama ndio wewe huyo kwenye avatar hapoKaribuni sanaView attachment 1277892
Lijambazi hilo I seeUmewahi kumwamini huyu dada?
Umesahau ile nauli ya 7,800 alyopewa dar arudi Mwanza?
Huyu anajua anachokifanya mwacheni
Kabisa mkuu. Ni lijambazi hili I seecutelove leo rasmi kengele ya hatari imelia kwenye ubongo wangu
ukitaka hii kenyele inyamaze naomba useme na ukubali hizo picha si zako
na useme kwanini uliamua kutumia picha ambazo si zako kusema ni wewe?
Usipoweza nifafanulia hayo maelezo,hii kengele itaendele kulia,sijui mpk saa ngapi.
Unataman mwanamke mwenzio ? Utampa nini?
Ndio,ndo Mimi haswaa
Kumbe yule jamaa aliye kukimbia Dar, alikosa vinono wallah...
Sweta lako lile lililoandikwa TANZANIA mbona hujalivaa??
AiseeNaona picha umeiba Facebook
Tena huyo mdada wa facebook ana account mbili tofauti lakini picha zake ni mtu yule yule.
Huyu kama sio tapeli ni muuza huduma ya ngono.
Tabidi tufanye kitu na uongozi wa JF wamdhibiti huyu mtu. Huyu mtu anataka kuichafua nembo na hadhi ya JF. Itakimbiwa na wajenga hoja wazuri wanaofanya JF iishi.
Naweza kutoa ushirikiano PM wa kuwatumia account zake mbili za Facebook.
Huenda ni mwnaume kabisa ila tapeli.
CC: Mhariri Maxence Melo Moderator
Mpaka hapa nyuzi zako zote zitakuwa zimejaa uongo tupu. Sijui mnafaidika nini kuleta mada za kufikirika humu? Ngumu sana kwa mwanamke anayajitambua kutupia picha hivyo, then ajitambulishe kwa sex life yake wazi wazi.. nakataa!!!
Aweke video clip anajitambulisha yeye ni fulani wa sehemu flani na account yake yaJF ni fulani, ashike samaki mmoja wa sato mkononi, aweke ID yake ya NIDA au aweke hata namba ya ID ya NIDA.
Mkuu Wick huyo dada mwenye picha ni mkenya alikuwa au bado anafanya kazi kampuni ya Rama Homes Limited huko Westlands Kenya.
Facebook kuna mtu anatumia picha zake anajiita Elizabeth Mtoni,.
Huyo Elizabeth ukimsearch facebook ana account zaidi ya 4 ila umri tofauti.
Kuna mtu mwingine huko facebook anatumia picha za huyo dada anaitwa Fausta Juma.
Inaonekana kama hawa wabongo wanatumia picha zake nzuri kufanya utapeli mitandaoni kusaka wanaume wenye tamaa ya warembo.
Sikupenda kuweka hivi lakini huyu mleta mada kanilazimisha.
Tena huko facebook anapicha kibao amevaa hadi kitambulisho cha kazini.
HahaaaNaamini na nina jua humu kuna totoz kali hata huyo juu pichani anasubiri, ila nabisha mpaka kesho kutwa eti cutelove
awe mzuri namna hiyo aah thubutu yake,weee nakataa hata nikichapwa fimbo sikubali.
HahaaSubutu watu kama hawa kule fb wamejaa wengi Sana na wanawaliza wajinga kweli kweli so naona na uku jf wamekuja tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππMwanza kumbe raha,tutakuka huko kutembelea one day