9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

Write your reply...nataka nilete misokoto yangu huko mwanza niuze mitaa gani wavutaji ni wengi nilete msaada please Nina magunia kama 14 nimevuna sema mawili yalikamatwa kwenye Costa niliweka nguo za mtumba juu yake sjui walishtukaje nazani nilichomwa hvi bado sijaitengeneza vizuri hayo niliovuna
 
cutelove leo rasmi kengele ya hatari imelia kwenye ubongo wangu

ukitaka hii kenyele inyamaze naomba useme na ukubali hizo picha si zako

na useme kwanini uliamua kutumia picha ambazo si zako kusema ni wewe?

Usipoweza nifafanulia hayo maelezo,hii kengele itaendele kulia,sijui mpk saa ngapi.
Kabisa mkuu. Ni lijambazi hili I see
 
Aisee !!!!
Tena huyo mdada wa facebook ana account mbili tofauti lakini picha zake ni mtu yule yule.
Huyu kama sio tapeli ni muuza huduma ya ngono.

Tabidi tufanye kitu na uongozi wa JF wamdhibiti huyu mtu. Huyu mtu anataka kuichafua nembo na hadhi ya JF. Itakimbiwa na wajenga hoja wazuri wanaofanya JF iishi.
Naweza kutoa ushirikiano PM wa kuwatumia account zake mbili za Facebook.
Huenda ni mwnaume kabisa ila tapeli.
CC: Mhariri Maxence Melo Moderator
 
Hata mimi pia nakataa
Mpaka hapa nyuzi zako zote zitakuwa zimejaa uongo tupu. Sijui mnafaidika nini kuleta mada za kufikirika humu? Ngumu sana kwa mwanamke anayajitambua kutupia picha hivyo, then ajitambulishe kwa sex life yake wazi wazi.. nakataa!!!
 
Thubutu hawezi kutuma
Aweke video clip anajitambulisha yeye ni fulani wa sehemu flani na account yake yaJF ni fulani, ashike samaki mmoja wa sato mkononi, aweke ID yake ya NIDA au aweke hata namba ya ID ya NIDA.
 
Aisee!!!huwenda baadhi ya member's humu ni mataahira
Mkuu Wick huyo dada mwenye picha ni mkenya alikuwa au bado anafanya kazi kampuni ya Rama Homes Limited huko Westlands Kenya.
Facebook kuna mtu anatumia picha zake anajiita Elizabeth Mtoni,.
Huyo Elizabeth ukimsearch facebook ana account zaidi ya 4 ila umri tofauti.

Kuna mtu mwingine huko facebook anatumia picha za huyo dada anaitwa Fausta Juma.

Inaonekana kama hawa wabongo wanatumia picha zake nzuri kufanya utapeli mitandaoni kusaka wanaume wenye tamaa ya warembo.

Sikupenda kuweka hivi lakini huyu mleta mada kanilazimisha.
Tena huko facebook anapicha kibao amevaa hadi kitambulisho cha kazini.
 
Naamini na nina jua humu kuna totoz kali hata huyo juu pichani anasubiri, ila nabisha mpaka kesho kutwa eti cutelove

awe mzuri namna hiyo aah thubutu yake,weee nakataa hata nikichapwa fimbo sikubali.
Hahaaa
 
Ameshawasoma kwamba Me wa Jf mnapenda sana tupicha tuzuri tuzuri.

Musimulaumu mleta uzi anaendana na kasi yenu. 😅😅😅
 
Back
Top Bottom