πππ hahhahKwa taarifa yako hatuachani teh...π
Poa poa...kumbe wote tunaona jinsi wanajeshi wanavyoning'ia angani kama kwenye movie vile wakifanya mazoezi.... Ila Kwa sasa C.C.M kirumba sio RAFIKI sana kuleNdio nipo [emoji517]
Nilisha kutambulisha jamani mbona msahaulifu hivyo.Mmmhhh
Toka lini kawa binamu
HayaNilisha kutambulisha jamani mbona msahaulifu hivyo.
πππ€£πππ
nyamalangoKwa masha au Nyamalango
Ukisharudi uje na mrejesho Swahiba. π π π ππππ€£
π wala usijali swahibaUkisharudi uje na mrejesho Swahiba. π π π π