9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Tarehe za Uhuru ndani ya jiji bora na jiji la mawe la sato na sangara zinakaribia.

Zitafanyikia uwanja wa CCM Kirumba, nyuma kidogo na ofisi zangu (Kirumba sokoni)

Wale wa mikoani, nawakaribisha sana. Karibu kwenye jiji letu bora na pendwa.

Jiji lenye makabila yote Tanzania ila wenyeji Wasukuma ndo wengi, Wahaya, Wanyambo, Wakerewe, Wakurya, Wajeluo, Wanyamwezi, Waha na Wachagga kwa uchache.
 
Karibuni sana
FB_IMG_1575177112880.jpeg
 
Back
Top Bottom