9 Muslim passengers kicked off flight after remark

9 Muslim passengers kicked off flight after remark

Nadhani umeshasikia kwamba reputation ya Marekani katika miaka 8 ambayo Kichaka alikuwa madarakani imeshuka mno duniani hata kwa marafiki zao kama nchi za Europe, Canada n.k. ni kutoakana na mambo kama haya ya kunyanyasa raia wasiokuwa na hatia zozote. Wazungu wanaingia kwa sababu maongezi waliyokuwa wanaongea yalikuwa hayatishii usalama wa wasafiri wengine, ni maongezi ya kawaida kabisa kwa wasafiri wengi wa ndege na kama wangekuwa wazungu basi hii habari wala isingetokea. Na kwa taarifa yako hilo shirika la ndege walilokuwa wanasafiri nalo limewaomba samahani soma hapa kwa makosa waliyoyafanya

AirTran apologizes to Muslim family removed from plane​

WASHINGTON (CNN) -- AirTran Airways apologized Friday to members of a Muslim family for kicking them off a plane and refusing to rebook them despite requests from FBI agents who had cleared them of wrongdoing.

Kashif Irfan, left, and his brother Atif Irfan were among family members removed from the flight Thursday.

1 of 2 The families of Atif Irfan, a tax attorney, and his brother Kashif Irfan, an anesthesiologist, were removed from a flight in Washington before takeoff Thursday after a passenger reported hearing Atif Irfan's wife say something suspicious.

The FBI interviewed the family and cleared them of wrongdoing.

"We regret that the issue escalated to the heightened security level it did," AirTran said in a statement Friday afternoon. "But we trust everyone understands that the security and the safety of our passengers is paramount." Read the full statement

The airline said it had refunded the family's money and offered to fly the family home to Washington free.

One family member, Kashif Irfan, said Friday he was "very appreciative and surprised" by AirTran's apology. "It's a very generous gesture," he said.

The statement was an abrupt about-face for the airline, which three hours earlier had issued a press release with an unapologetic description of the incident.

In that statement, the airline said it did not re-book the family only because the security concern had not been resolved, and because one member of the group "became irate and made inappropriate comments."

That account differed from accounts from the family and the FBI. The FBI said agents interviewed the family, resolved the security concerns and then tried to help re-schedule the flight with the airline. The FBI ultimately helped the family book a flight on USAirways. Watch how Muslims find climate of fear at airport »

The dispute occurred about 1 p.m. Thursday as Atif Irfan and his brother Kashif Irfan boarded AirTran flight 175 at Reagan National Airport near Washington for a trip to Orlando, Florida. They were accompanied by their wives, a sister and three children.

Federal officials say a passenger on the plane notified a flight attendant about a suspicious conversation, and the flight attendant notified the pilot and Federal air marshals who were aboard. The pilot asked the air marshals to remove the passengers, said Transportation Security Administration spokesman Christopher White.

"The conversation, as we were walking through the plane trying to find our seats, was just about where the safest place in an airplane is," said Inayet Sahin, Kashif Irfan's wife. "We were [discussing whether it was safest to sit near] the wing, or the engine or the back or the front. But that's it. We didn't say anything else that would raise any suspicion."

The conversation did not contain the words "bomb," "explosion," "terror" or other words that might have aroused suspicion, Atif Irfan said.

"When we were talking, when we turned around, I noticed a couple of girls kind of snapped their heads," said Sobia Ijaz, Atif Irfan's wife. "I kind of thought to myself, 'Oh, you know, maybe they're going to say something.' It didn't occur to me that they were going to make it such a big issue."

Authorities first removed Atif Irfan and Sobia Ijaz, then returned for the rest of the family, including three small children. They also removed a family friend, Abdul Aziz, a Library of Congress attorney who was coincidentally taking the same flight and had been seen talking with the family.

After the FBI interviewed family members, the agency released them, Irfan said.

"The FBI agents actually cleared our names," said Sahin. "They went on our behalf and spoke to the airlines and said, 'There is no suspicious activity here. They are clear. Please let them get on a flight so they can go on their vacation,' and they still refused." Watch Muslims recount how they were kicked off plane »

In statements Thursday night and Friday morning, AirTran said it "complied with all TSA, law enforcement and Homeland Security directives and had no discretion in the matter."

But TSA spokesman White said it was the pilot's decision to remove the family and the airline and pilot had the ultimate authority to decide whether to allow the family back on AirTran flights.

An FBI spokesman confirmed Friday that agents intervened on behalf of the family with AirTran. When AirTran declined to book the family, agents helped them get tickets with USAirways, FBI spokesman Richard Kolko said.

"Our agents went way out of their way to make sure this family went on their trip," Kolko said. iReport.com: Share your story

After the family and friend were taken for questioning, the remaining 95 passengers, the crew and baggage were removed from the plane and rescreened, AirTran said.

Family members said Friday they had not decided whether to accept AirTran's apology, saying there were a variety of opinions.

Meanwhile, an Islamic group -- the Council on Islamic American Relations, or CAIR -- filed a complaint with the U.S. Department of Transportation, which oversees airlines.

"We believe this disturbing incident would never have occurred had the Muslim passengers removed from the plane not been perceived by other travelers and airline personnel as members of the Islamic faith," CAIR said in its complaint.

Bubu Asema,

Hivi ndg yangu huwa unasomaga Copy and Paste zako?

Nimekuuliza kuwa sera za Marekani na Wazungu wanaingiaje ktk hii kadhia? Hebu ona upupu uliouleta..
 
Bubu Asema,

Hivi ndg yangu huwa unasomaga Copy and Paste zako?

Nimekuuliza kuwa sera za Marekani na Wazungu wanaingiaje ktk hii kadhia? Hebu ona upupu uliouleta..

Ha ha ha ha nadhani labda huwa husomi jumbe kwa kuwa tayari una dhana potofu kwamba ni upupu!!! Haya nimekuwekea tena upupu wangu hapa chini uone kama nimejibu maswali yako au la.

Nadhani umeshasikia kwamba reputation ya Marekani katika miaka 8 ambayo Kichaka alikuwa madarakani imeshuka mno duniani hata kwa marafiki zao kama nchi za Europe, Canada n.k. ni kutokana na mambo kama haya ya kunyanyasa raia wasiokuwa na hatia zozote. Na hata Obama katamka moja ya majukumu yake ni kujenga tena reputation ya US ambayo imeanguka kutokana na sera zinazopingwa duniani zilizojaa ubaguzi na uharamia.

Wazungu wanaingia kwa sababu maongezi waliyokuwa wanaongea yalikuwa hayatishii usalama wa wasafiri wengine, ni maongezi ya kawaida kabisa kwa wasafiri wengi wa ndege na kama wangekuwa wazungu basi hii habari wala isingetokea. Na kwa taarifa yako hilo shirika la ndege walilokuwa wanasafiri nalo limewaomba samahani soma hapa kwa makosa waliyoyafanya.

Je, umeiona samahani waliyoombwa hao wahusika!? Nao huo ni upupu!!? Acha hizo!!!!!!
 
Ha ha ha ha nadhani labda huwa husomi jumbe kwa kuwa tayari una dhana potofu kwamba ni upupu!!! Haya nimekuwekea tena upupu wangu hapa chini uone kama nimejibu maswali yako au la.

Bw. Bubu,

Nimeusoma na sijaona popote pale panahusiana..nadhani your imagination and hallucination is a real problem to you my friend..Hebu ona mwenyewe upupu huu..

Nadhani umeshasikia kwamba reputation ya Marekani katika miaka 8 ambayo Kichaka alikuwa madarakani imeshuka mno duniani hata kwa marafiki zao kama nchi za Europe, Canada n.k. ni kutokana na mambo kama haya ya kunyanyasa raia wasiokuwa na hatia zozote. Na hata Obama katamka moja ya majukumu yake ni kujenga tena reputation ya US ambayo imeanguka kutokana na sera zinazopingwa duniani zilizojaa ubaguzi na uharamia.

Hizi hoja umakini wake ni suala jingine, lakini ktk hii kadhia HAVIHUSIANI..

Wazungu wanaingia kwa sababu maongezi waliyokuwa wanaongea yalikuwa hayatishii usalama wa wasafiri wengine, ni maongezi ya kawaida kabisa kwa wasafiri wengi wa ndege na kama wangekuwa wazungu basi hii habari wala isingetokea. Na kwa taarifa yako hilo shirika la ndege walilokuwa wanasafiri nalo limewaomba samahani soma hapa kwa makosa waliyoyafanya

Again, walichofanya wasafiri wengine kwenye ndege ni kutoa alarm kwamba kuna uwezekano kuwa flight ikawa sio safe. Hii ingeweza kufanywa na abiria yeyote hata mimi Mpemba. Ktk mazingira kama haya procedure zinafuatwa na wala hakuna habari ya uzungu hapo. Kuomba msamaha na kuuhusisha na uzungu wapi nawapi ndugu?

SASA HUU SI UPUPU WAJAMENI?
 
Last edited by a moderator:
Wale jamaa wenye madevu wamekutwa ktk ardhi ya USA tena ktk chombo cha usafiri ambako nidhamu ya hali ya juu inahitajika, na kukawa na concern ya security kutoka abiria wengine..Sasa wewe ulitakaje? Ndege ipae tu bila kujali nini kinaweza kutokea?

Uwe unatafuta facts kwanza kabla ya kuandika madudu yasiyokuwa na kichwa wala miguu!!! Kwani kufuga ndevu ni dhambi!!!? Hata Mzee Makassy alikuwa na madevu!!!! Nidhamu gani iliyovunjwa na hao wahusika hata wanyanyaswe!!? Kama walivunja nidhamu, kwanini tena shirika liwaombe samahani tena kwa kutuma kwa vyombo vya habari!? Concern ya security kwa kuongea ni sehemu ipi ya kukaa ndani ya ndege ambayo ni more safe than other places!!!? 😕 😕 😕
Duh! Kazi kweli kweli!!!!!
 
Bw. Bubu,

SASA HUU SI UPUPU WAJAMENI?

Ukishashindwa hoja na huna la kuandika la maana kutetea madudu uliyoyaandika basi chochote kitakachoandikwa kwako wewe ni upupu, lakini wanachama wa JF wanajua upupu umelalia wapi katika hii thread, kama huna facts za jambo lililotokea ni bora unyamaze badala ya kuandika madudu. I am done with this thread.
 
Ama kwa hakika wewe kweli ni Bubu ( wa akili?)

Hao unawatetea kuwa walikuwa wanachagua sehemu ya kukaa kwenye ndege kwa kuongea? nani alikwambia walikuwa wakiongea ili kila mtu kwenye ndege asikie? Jamaa wamesikia hao wafilisti wakinong'onezana and it was not clear to them na wazo walokuwa nalo ni kuwa jamaa labda wana-plan kutekeleza zile hate verses za KKKoran..

Ninachozungumzia ni kuwa hata kwenye Copy and Paste yako umeandika kuwa suala la kuahirisha safari na kuwatema ma-suspects liko reserved to the PILOT na procedure za kuiscreen ndege ni jambo la kawaida na linatakikana, naona hii ni ngumu kwako kuelewa sijui kwa nini...

Kuhusu kuomba radhi..Hivi unajua shirika la ndege liliomba radhi kwa sababu zipi? Kwa sababu ya kufanya screening ? No ! Wanaomba radhi for inconvenience cause which was necessary anyway ..thats it! Soma hapa kwenye Copy and Paste yako:

Bubu aongea said:
But we trust everyone understands that the security and the safety of our passengers is paramount

Hii sentensi inafanya hoja zako kuwa za ajabu walahi...!
 
Ukishashindwa hoja na huna la kuandika la maana kutetea madudu uliyoyaandika basi chochote kitakachoandikwa kwako wewe ni upupu, lakini wanachama wa JF wanajua upupu umelalia wapi katika hii thread, kama huna facts za jambo lililotokea ni bora unyamaze badala ya kuandika madudu. I am done with this thread.

Bua ha ha ha..

Refute hoja bana, kama huwezi you beta STFU.. nimekuonesha kuwa sera za Marekani hazihusiani na kadhia hii .. Pia hoja yako ya uzungu ni ya kijinga..And thats it..
 
Ukishashindwa hoja na huna la kuandika la maana kutetea madudu uliyoyaandika basi chochote kitakachoandikwa kwako wewe ni upupu, lakini wanachama wa JF wanajua upupu umelalia wapi katika hii thread, kama huna facts za jambo lililotokea ni bora unyamaze badala ya kuandika madudu. I am done with this thread.

Hawana hoja mtindio na max, yao kubwa ni chuki ambayo hupelekea kupoteza uwezo wa kufikiri/kupambanua (reasoning) wanaendeshwa na fikra za chuki dhidi ya uislam.
 
Hawana hoja mtindio na max, yao kubwa ni chuki ambayo hupelekea kupoteza uwezo wa kufikiri/kupambanua (reasoning) wanaendeshwa na fikra za chuki dhidi ya uislam.

Chuki unayoizungumzia ni ipi? kwa lipi? Kwa nani? Kwa nini? Kwa faida ipi? Kwa manufaa yepi?

Wewe hasa ndo mwenye chuki , hapa watu wanakata ishu wewe unaleta upupu uleule kama wa Bubu wa Akili..
 
Wangekuwa wazungu wenye midevu na wanawake wamevaa hijab ingekuwaje? Tukumbuke kuna wakina ex-Cat Stevens wengi tu.

Hii profiling imefanywa kutokana na imani kuwa waislamu wa wazi ( wanaume wasionyoa ndevu na wanawake wanaovaa hijab) ni very likely kuwa terrorists. Ubaya kwenye ishu hii ni kuwa hata baada ya mahojiano, kupekuliwa na kuthibitishwa kuwa hawa si terrorists bado hawakuruhusiwa kuendelea na safari yao! Hii ni beyond caution bali inaelekea kwenye ubaguzi! Tabia hii inastahili kulaaniwa bila kujali nani kafanya na nani katendewa.

Amandla.......
 
Hivi kweli mtu aliyeamua kujitoa mhanga atajali wapi ni salama zaidi? Salama kutokana na nini? Bomu lao, risasi kutoka nje au nini? Hawa jamaa wali-overreact!
 
Chuki unayoizungumzia ni ipi? kwa lipi? Kwa nani? Kwa nini? Kwa faida ipi? Kwa manufaa yepi?

Wewe hasa ndo mwenye chuki , hapa watu wanakata ishu wewe unaleta upupu uleule kama wa Bubu wa Akili..

Unanifurahisha ambavyo jazba inakufanya hata usione tofauti ya maneno unayoyatumia yenye maana moja. maswali uliyouliza ni matatu tu japo umeuliza mara sita.
Pia umeshindwa kuona kwamba moja ya swali ulilouliza tayari nilishalijibu. maswali yanayofanana nimeyatia rangi za kufanana.
Punguza jazba macho yatakufumbuka.
 
Kazi kweli kweli. Hii inaonekana ni ubaguzi wa kiimani kwa dini moja kwa dini nyingine. Sijuhi kama wasingekuwa na muonekano wa kiislam/kiarabu sijuhi kama wangetendewa kama walivyotendewa.Sasa inabidi watu wenye imani za kiislam na wanaovaa kwa tamaduni kama hizi wakipanda ndege wachunge sana maneno yao ya kuongea.

Mimi nilipofiwa na mke wangu hapa DSM majirani walienda kuazima mikeka kwa ndugu zetu Waislamu mtaa fulani na wakakataa wakisema hawawezi kuazimisha vitu vyao kwa makafiri. Lakini kukiwa na sherehe za madrasa huwa wanakuja kuomba michango na tunawapa.
 
Acha fitna.Kama walikunyima mikeka kuna sababu nyingine siyo Ukrito wako.Huu ni mfano wa kutaka kufitinisha dini hizi mbili na wafuasi wake maana kuna mifano mingi ya kushirikiana katika mazishi kati yao.
 
Kwa bahati mbaya anayosema Magobe yanatokea. Watu tumeishaanza kusahau tamaduni zetu za kushirikiana si katika mazishi tu bali kwa kila namna. Wachonganishi wako kutoka pande zote mbili. Dawa si kukataa nyufa zilizoanza kujitokeza bali kushirikiana SOTE katika kuhakikisha kuwa zinazibwa na haziruhusiwi kurudi au kusambaa.

Mimi ningedhani badala ya kumlaani Magobe ungemuuliza ni msikiti gani yalikompata ili uende kuwafahimisha kuwa wanachokifanya (kama ni kweli) sivyo.
 
Nakubaliana na wewe katika suala la kumuuliza Magobe ni msikiti gani auliomnyima mikeka na namwomba atupatie jina la msikiti ili tuweke mambo sawa.mambo ya namna hii yanawezaq kutufikisha pabaya.sisi tunashirikiana na Wakristo katika harusi, mazishi na hata kwenye sherehe za ubatizo.Sasa tunaposikia mambo kama yaliyomkuta Magobe tunashtuka!
 
Unanifurahisha ambavyo jazba inakufanya hata usione tofauti ya maneno unayoyatumia yenye maana moja. maswali uliyouliza ni matatu tu japo umeuliza mara sita.
Pia umeshindwa kuona kwamba moja ya swali ulilouliza tayari nilishalijibu. maswali yanayofanana nimeyatia rangi za kufanana.
Punguza jazba macho yatakufumbuka.

Bua ha ha ha..

Nimekujibu kwa ufasaha mkubwa sana, kuwa hapa tunakata ishu, wewe unaleta inferiority zako na chuki..Endelea tu kumwaga upupu kama shemeji yako Bubu..
 
Acha fitna.Kama walikunyima mikeka kuna sababu nyingine siyo Ukrito wako.Huu ni mfano wa kutaka kufitinisha dini hizi mbili na wafuasi wake maana kuna mifano mingi ya kushirikiana katika mazishi kati yao.

Ameshakwambia kuwa alinyimwa kwa sababu haamini ktk njia ya maangamizi (usilamu) wewe bado unamn'gang'aniza tu..Sasa unataka akwambieje zaidi ili uelewe?
 
Wangekuwa wazungu wenye midevu na wanawake wamevaa hijab ingekuwaje? Tukumbuke kuna wakina ex-Cat Stevens wengi tu.

Hii profiling imefanywa kutokana na imani kuwa waislamu wa wazi ( wanaume wasionyoa ndevu na wanawake wanaovaa hijab) ni very likely kuwa terrorists. Ubaya kwenye ishu hii ni kuwa hata baada ya mahojiano, kupekuliwa na kuthibitishwa kuwa hawa si terrorists bado hawakuruhusiwa kuendelea na safari yao! Hii ni beyond caution bali inaelekea kwenye ubaguzi! Tabia hii inastahili kulaaniwa bila kujali nani kafanya na nani katendewa.

Amandla.......

...Spot on fundi mchundo, utadhani Mohammed Atta na wenzake kwenye shambulio la 9/11 walivaa makanzu na kufuga madevu.
Intelijensia mbovu hiyo eti tu kwakuwa mtu kavaa kanzu na midevu au hijjab maana yake ni terrorist.

Yaani imefikia watu wanaakuwa discriminated kwakuwa tu wanavaa Kanzu, hijjab, Kippah, habit/wimple, au collar? ..."suspicious minds" nyingine zinatupeleka pabaya sasa...
 
Back
Top Bottom