BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Naona umeketi kitako kusubiria upupu? Bua ha ha ha ..Wewe kweli ni BUBU wa akili ..hata sielewi unataka nielezee chuki yangu dhidi ya Wasilamu? Sishangazwi ni kwa jinsi gani unaweza kuuliza swali kama hili. Maana ni wewe ndiye uliyesema nina chuki, mimi nilidhani unajua maisha yangu kunizidi na kunipangia hata kipi sikipendi na kipi nakichukia..
Too stupid to be in JF.
There you again with your stupidity, Mr. Upupu wa utiwaubongo!!!
Huyu mwanachama naye aliona chuki yako ya dhahiri dhidi ya waislamu na akaandika hivi:
mimi ni Mahmoud Qaasim, sijakuzuia, wala siajwahi kufikiria jambo kama la kukuzuia, na siwezi kukuzuia kutoa maoni yoyote yale.
ninachosema wacha chuki, toa maoni bila chuki ilitupate kufaidika na maoni yako. maana kila kunapotokea hoja ya kijamii hoja ambayo inaudhalilishaji ndani yake hata kama aliyelifanya ni mtu binafsi basi fikra zako huja ni kuhusisha udhalilishaji huo na uislam. hilo ndilo linalonifanya nikwambie usiendeshwe na fikra za chuki.
Ndiyo maana nimekuuliza maana huwezi mtu ukachukia watu wa aina fulani bila kuwa na sababu zozote za msingi. Je kulikoni mpaka ukajenga chuki kali kiasi hicho dhidi ya Warabu na Waislamu!?
Too stupid to be in JF.
At least mimi sina chuki dhidi ya watu watu wa aina yoyote hapa duniani au dini yoyote ile ukilinganisha na wewe Mr. Upupu wa utiwaubongo umejaa chuki kali sana dhidi ya waarabu na waislamu halafu ukiulizwa kulikoni mpaka ukajenga chuki kiasi hicho!? Unaonyesha upumbavu wako kwa kulikwepa swali na kuandika upupu wako kama kawaida yako.